North Korea yalaani jaribio la Marekani, yasema ni matayarisho ya vita vya nuclear

Hakuna vita ya nyuklia itakayopiganwa tena na hakuna atakayeanzisha hilo ila nchi yeyote inahaki ya kujilinda na kufanya majaribio ya silaha zake yenyewe
nasisi tufanye majaribio ya silaha zetu, hata kiduku hatuwezi
 
train-your-little-dog.jpg
 
KOREA KUNA VICHAA WATUPU HIVI KWA AKILI YA KAWAIDA KOMBORA LITOKE KOREA LIKAIPIGE MAREKANI???NA MIFUMO YOTE ILE YA ULINZI WA ANGA???!!!LABDA KIM ATEKE NDEGE IKIWA NDANI NDO AKALIPUE
 
Duu nimeamini sisi tulikuja kusindikiza duniani haiwezekan wenzetu wako mbali sisi ndio tuko kweny uhakiki wa vyeti.
Cjui tulikosea wapi bora tufe wotd uumbaji uanze upya pengine tunaweza jikuta na sis tumekuwa wa israel
Mzungu ni Mungu... So Waafrica wapo chini ya uangalizi wa Mzungu... ndiyo maana ukienda kanisani kwenda kuomba unaenda kumwombea mzungu azidi kubarikiwa.... Africa wa miuungu yao ila wameikataa wamemkumbatia mzungu....
 
Doh... Hii mpya
 
Back
Top Bottom