Jino kwa jinoNtarudi badae, maana kuna dalili ya NK kumuwekea vikwazo US.... vituko
Bora ndugu unanisaidia kufikiri kama mm,Duu nimeamini sisi tulikuja kusindikiza duniani haiwezekan wenzetu wako mbali sisi ndio tuko kweny uhakiki wa vyeti.
Cjui tulikosea wapi bora tufe wotd uumbaji uanze upya pengine tunaweza jikuta na sis tumekuwa wa israel
Akili za kula na kulalaNikimwangalia kiduku na umr wake na mambo anayoyafanya nakonda nakujiona fala kabsa,
Kama kweli Wa 83, maana tunalingana, ila gap la akil alonipiga mungu anajua sisi watu weusi alituwekea akili maalum kwa matumizi gan!
Kwani hujui giza ni jeusi. Kwahiyo tafsiri ya mtu mweusi ni giza. Ndo maana wenyewe walisema wamegundua bara la giza/dark continent. Usiwaze sana kula ulaleBora ndugu unanisaidia kufikiri kama mm,
Mm huwa najiuliza nakosa mjibu, wetu weusi mungu alichanganya material gani mpaka sikawa nzito kiasi hicho,
Hata miarabu mijingajinga tu imetuzdi ubunifu, hiv tuliumbwaje et? Au tuanzishe mradi Wa kutwangana makonzi kuchemsha akili!!!