Ahahahahaaa....I agree. 100 percent agree.
North Korea na South Korea ni ndugu, wakati fulani walikuwa nchi moja. Iweje South waweze kuwa na I.Q. kubwa (wanatengeneza Samsung everything kama smartphones, electronics. Pia ndio watengenezaji wakuu wa meli kubwa aina ya Hyundai ukiacha haya magari ya juzi), na ndugu zao wa damu wa Korea ya Kaskazini wasiwe na IQ kubwa?
Hiyo inakuonesha ni vipi ukipingana na mataifa ya magharibi kiitikadi, hasa USA watakuita kila jina. Watu wa Korea kaskazini sio kuwa wana I.Q. ndogo bali ni kuwa hawajawezeshwa kiuchumi kwa kuwa uchumi wao unahujumiwa kila uchweo na mataifa ya magharibi.
Wewe...watu wenye IQ kubwa huwa hawawezeshwi. Wanatumia IQ yao kubwa kujiwezesha.
Kim Jong Un ana IQ ndogo teh teh
Unataka kunambia watu wa Cuba nao wana IQ ndogo? Nadhani unafahamu historia ya nchi hiyo na Marekani.
Inawezekana wana IQ ndogo, ndiyo.
Are you serious?
Cuba ni nchi ambayo imewekewa mikwara ya kila aina na Marekani lakini ina huduma za afya nzuri kupita Marekani maradufu. Wanapeleka madaktari wao dunia nzima - Tanzania wakati fulani walikuja tunusuru. Sasa hivi wako mstari wa mbele kuliko yeyote yule kuidhibiti Ebola.
Listen, nchi za magharibi huwadharau wale wote wasiowapenda - hasa kama hawataki kuwaabudu.
Waliwadharau Urusi weeee, sasa hivi wanaipatapata. Kuna wakati waliwadharau waChina weee na Ukomunisti wao, sasa hivi wanakwenda kukopa huko huko na wanaachwa nyuma kijeshi na kiteknolojia.
Nyani Ngabu ndugu yangu, usishabikie sana wayasemayo hawa watu. Ukisikia wanavyotusema sisi waAfrika na ukayaamini basi hutaweza kufanya chochote kile. Tuwe waangalifu kurudia hizi propaganda zao.
Healthcare ya Cuba ni bora kuliko ya Marekani? Unacheza wewe......
Noooo, that research is not true.
Yaani uchague wakorea kaskazini kua wa mwisho uache nchi kama Tanzania?
Watu wanafire rockets into space,na makombora useme iq ndogo, sio kweli.
Nyani, your ass can be shot any moment by the yankees just for being black....we see daily in Al jazeera, Press TV and CCTV.
[size=-1]the intelligence scores came from work carried out earlier this decade by richard lynn, a british psychologist, and tatu vanhanen, a finnish political scientist, who analysed iq studies from 113 countries, and from subsequent work by jelte wicherts, a dutch psychologist.
countries are ranked highest to lowest national iq score.
[/size][table="width: 0"]
[tr]
[td="width: 60, align: Left"]rank
--------[/td]
[td="width: 200, align: Left"]country
-----------------------[/td]
[td="width: 80, align: Center"]%
-------------[/td]
[/tr]
[/table]
last north korea lower than 59
http://www.photius.com/rankings/national_iq_scores_country_ranks.html