North Korea fires ballistic missile into Japanese waters

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
777
Reaction score
1,337
North Korea has test-fired a ballistic missile which travelled 1,000km (620 miles) before landing in Japanese waters, the South and Japan say.

The missile was launched off the North's east coast early on Wednesday.

The North is barred from developing nuclear and ballistic missile technology by UN resolution.

But it had vowed a "physical response" to the US and Seoul's plan to deploy an advanced missile defence system in South Korea.

It has carried out repeated launches in recent months.

The US Strategic Command said two missiles had been fired simultaneously on Wednesday and that one exploded immediately after launch.

'Ambition to attack'

Wednesday's missile flight is believed to be the longest yet for a North Korean test.

The launch showed the North's "ambition to attack neighbouring countries", an official at South Korea's Joint Chiefs of Staff said. He added that the missile appeared to have been a medium-range Rodong.

The Japanese defence ministry said the missile landed inside its exclusive economic zone (EEZ), the 200-nautical mile of ocean around a country over which it has jurisdiction.

Prime Minister Shinzo Abe said it posed a grave threat to Japan's security, calling it an "unforgiveable act of violence". He said Tokyo had protested strongly against it.

The US similarly condemned the launch.

"We remain prepared to work to respond to further DPRK [Democratic People's Republic of Korea] provocations, as well as to defend ourselves and our allies from any attack or provocation," said State Department spokeswoman Anna Richey-Allen.

In June, after what appeared to be several failed launches, North Korea sent a mid-range missile more than 1,400km into the atmosphere, indicating it had made progress in its abilities to strike US targets in the region, according to analysts.

In July, North Korea fired three ballistic missiles into the sea, saying it was a simulated strike on the South.

Local media reports say South Korean officials believe the North is preparing to conduct a fifth test of a nuclear weapon.

But North Korea is not yet believed to have the ability to mount a nuclear warhead on a missile to make a deliverable weapon.
_90620193_gettyimages-542368016.jpg
 
Daaah huyu jamaa mkorofi sana sijui a nataka dunia ikae aje
 
North Korea has test-fired a ballistic missile which travelled 1,000km (620 miles) before landing in Japanese waters, the South and Japan say.

The missile was launched off the North's east coast early on Wednesday.

The North is barred from developing nuclear and ballistic missile technology by UN resolution.

But it had vowed a "physical response" to the US and Seoul's plan to deploy an advanced missile defence system in South Korea.

It has carried out repeated launches in recent months.

The US Strategic Command said two missiles had been fired simultaneously on Wednesday and that one exploded immediately after launch.

'Ambition to attack'

Wednesday's missile flight is believed to be the longest yet for a North Korean test.

The launch showed the North's "ambition to attack neighbouring countries", an official at South Korea's Joint Chiefs of Staff said. He added that the missile appeared to have been a medium-range Rodong.

The Japanese defence ministry said the missile landed inside its exclusive economic zone (EEZ), the 200-nautical mile of ocean around a country over which it has jurisdiction.

Prime Minister Shinzo Abe said it posed a grave threat to Japan's security, calling it an "unforgiveable act of violence". He said Tokyo had protested strongly against it.

The US similarly condemned the launch.

"We remain prepared to work to respond to further DPRK [Democratic People's Republic of Korea] provocations, as well as to defend ourselves and our allies from any attack or provocation," said State Department spokeswoman Anna Richey-Allen.

In June, after what appeared to be several failed launches, North Korea sent a mid-range missile more than 1,400km into the atmosphere, indicating it had made progress in its abilities to strike US targets in the region, according to analysts.

In July, North Korea fired three ballistic missiles into the sea, saying it was a simulated strike on the South.

Local media reports say South Korean officials believe the North is preparing to conduct a fifth test of a nuclear weapon.

But North Korea is not yet believed to have the ability to mount a nuclear warhead on a missile to make a deliverable weapon.View attachment 375278
Very poorly diplomatic country
 
Hawa jamaa ipo siku mitambo itagoma bomu moja litue kwa bahati mbaya South Korea au Japan, hiyo ndiyo itakua siku ya mwisho kusikia hizi biti, watanyeshewa mabomu hawatoamini. US, South Korea, Japan, wote wakiamua kumchapa huyu jamaa ni mwezi moja tu itachukua kumfuta kwenye ramani ya dunia, Russia na China haziwezi ingilia coz hii nchi haina faida kubwa kwao kuwapelekea kurisk vita.
 
Lazima Russia na China ziingie coz hawawezi kuacha taifa dogo kama hilo kuchangiwa na matafa matatu makubwa duniani
 
China na north korea kwa sasa ni nchi ambazo hazielewani hata kidogo. Miezi michache iliopita china waliweka vikwazo vya uchumi kwa north korea baada ya ile test ya nuclear. Na Russia hana ubavu wa kuingia vita na japan, south korea na marekani labda vita iwe inamhusu directly
 
China hatimizi vile vikwazo mkuu ni bingwa wa kukwepa vile vikwazo
 
Lazima Russia na China ziingie coz hawawezi kuacha taifa dogo kama hilo kuchangiwa na matafa matatu makubwa duniani

Si kweli, Russia na China hawawezi ingilia sababu kwanza North Korea atakua kachokoza mwenyewe, kwa hiyo sio kwamba anaonewa bali itakua ni haki achapwe, pili pamoja na kua wanaushirikiano, Russia na China hawawezi risk kumface mmarekani risk yake ni kubwa kuliko kuacha North Korea ianguke. Labda sababu moja ya China kusaidia North Korea iwe kulinda mipaka yake maana North Korea ikichukuliwa ikaanza kufuata mfumo wa kidemokrasia ambao unaongozwa na US meaning kama ilivyo South Korea, US wataweka military base zao pale na kua na influence, China sidhani kama atapenda military base za US ziwe nje tu ya mpaka wake wakati wote.
 
Hawa jamaa ipo siku mitambo itagoma bomu moja litue kwa bahati mbaya South Korea au Japan, hiyo ndiyo itakua siku ya mwisho kusikia hizi biti, watanyeshewa mabomu hawatoamini. US, South Korea, Japan, wote wakiamua kumchapa huyu jamaa ni mwezi moja tu itachukua kumfuta kwenye ramani ya dunia, Russia na China haziwezi ingilia coz hii nchi haina faida kubwa kwao kuwapelekea kurisk vita.
Mkuu kumbuka pia kwamba hiyo vita haina maslahi kwa marekani.Kama anataka kupima muziki wake Korea kaskazini ajaribu kulenga kisima kimoja cha mafuta kule saudia au Kuwait
 
US ni kama world police, yeye yupo tayari kuingilia kati anytime nchi yoyote ile, North Korea unajua inapiga hizi biti kuonyesha kiburi kwa UN, so if anything goes wrong UN ndio itakua ya kwanza kureact, na wote tunajua top players wa UN huwezi kuiacha US, na istoshe jamaa wana military bases zao zipo South Korea, kulaunch attack ni kitu wanaweza kukifanya ndani ya dakika chache sana.

Korea kaskazini hua ni biti tu ila hawana high tech yoyote ile, usicheze na mmarekani tafadhali, wale jamaa ni level nyingine kabisa, kuna secret projects nyingi walizonazo huwezi kuamini, marekani hata akipigana na dunia nzima atasurvive muda mrefu kabla ya kuanguka, nuclear warheads alizonazo zinazidi 7000, ambazo ziko ready kudeploy anytime zinaweza kua in hundreds, North Korea ambayo inasadikika wana chini ya 3 unadhani wakisema waende nuclear watasurvive? alafu still North Korea bado hata technology ya kurusha nuclear masafa marefu hawana, ingekua wanaipiga Seoul labda, ila kuisafirisha mbali its not possible, hata Busan iliyopo South Korea yenyewe bomu halifiki, hata kwa msaada wa China kitu ambacho hakiwezekani maana china naye hapendi sanctions from the UN. Kwa level waliyopo sasa hivi, South Korea peke yake anaweza mchapa North Korea vizuri tu bila hata msaada.
 
ICBM zenyewe wanazotest kila wakati zinaenda off target au kufail,bado wanahaha sana kukamilisha mradi wa haya makitu..haya ma ICBM bana sio kitu cha kumilikiwa na kila mtu,yana tech yake tofauti kabisa.Sasa ivi NK wanatest shprt range ICBMs ambazo wana target Saoul SK.Na huko SK US bado anaendelea ku deploy THAAD kwa iyo SK atakuwa salama tuu..Hatua inayofuata ni ku deploy THAAD Japan nchi nzima huo ndio mpango wa marekani kwa sasa kuwalinda washirika wake na threats za nukes..US hadi sasa wana big project nyingine ya kutengeneza anti ballistic missils na ballistic missils mpya zinazoweza kusafiri km 14,000 zaidi ya hizi za sasa 11,000.Ukisikiliza hotuba moja ya Putin kwenye mkutano wa usalama alisema hiki kitu kwamba kuna hatari inakuja mbeleni kwamba US wana multi billion project za siri zinazohatarisha usalama wa dunia japo yeye alisema bado hajui ni lini project itakamilika..Kwa iyo kwa sasa THAAD sio key air defense system ya US tena cos wana project mpya thats why wakaanza kuzideploy kwa washirika wake..Dunia hii tunakoelekea sio pazuri hata kidogo mkuu,natamani kitakachotokea kisinikute hai.
 
Hawa jamaa ipo siku mitambo itagoma bomu moja litue kwa bahati mbaya South Korea au Japan, hiyo ndiyo itakua siku ya mwisho kusikia hizi biti, watanyeshewa mabomu hawatoamini. US, South Korea, Japan, wote wakiamua kumchapa huyu jamaa ni mwezi moja tu itachukua kumfuta kwenye ramani ya dunia, Russia na China haziwezi ingilia coz hii nchi haina faida kubwa kwao kuwapelekea kurisk vita.
Wee jamaa unavyo shabikia utadhani upo uwanja wa taifa ukishangilia Yanga ipigwe goal na Simba!!
 
Hawa jamaa ipo siku mitambo itagoma bomu moja litue kwa bahati mbaya South Korea au Japan, hiyo ndiyo itakua siku ya mwisho kusikia hizi biti, watanyeshewa mabomu hawatoamini. US, South Korea, Japan, wote wakiamua kumchapa huyu jamaa ni mwezi moja tu itachukua kumfuta kwenye ramani ya dunia, Russia na China haziwezi ingilia coz hii nchi haina faida kubwa kwao kuwapelekea kurisk vita.

Siyo rahisi kiasi hicho kama unavyodhani....Hivi unafahamu kuwa katika vita vya miaka ya 50 North korea nusura iikamate South Korea??? Korea ya Kaskazini ni nchi ya hatari katika mambo ya kijeshi...wachambuzi wa masuala ya kijeshi wanasema kuwa ni kweli kama vita ikitokea Korea kaskazini inaweza kufutika lakini wakati huo huo Korea kusini nayo inaweza kufutika pia, sasa hapo ndipo mtihani ulipo...tusikimbilie kusoma habari na propaganda za nchi za magharibi peke yake, tudadisi undani wa habari na propaganda hizo huku pia tukisoma habari na propaganda za nchi nyingine....
 
hawawezi kamwe,,,na kama wangeshaweza wangeshafanya,,kwani wameanza vituko leo,,,shida moja nyuma yake yupo mchina na mrusi,,mchina ndo atabeba wakimbizi na Russia,,so hakuna hiyo kitu,,,mjapani kwanza hana jeshi la vita labda us na korea kidogoo
 
Is it????!!!!! What about other countries including the USA with countless stockpiled nuclear weapons????
Yes us wanamiliki nuclear weapons but uwa awatishi mtu woa utoa onyo kwanza ndio waje kukuchapa ukikaidi but hawa jamaa ni upuuzi mtupu
 
Siyo rahisi kiasi hicho kama unavyodhani....Hivi unafahamu kuwa katika vita vya miaka ya 50 North korea nusura iikamate South Korea??? Korea ya Kaskazini ni nchi ya hatari katika mambo ya kijeshi...wachambuzi wa masuala ya kijeshi wanasema kuwa ni kweli kama vita ikitokea Korea kaskazini inaweza kufutika lakini wakati huo huo Korea kusini nayo inaweza kufutika pia, sasa hapo ndipo mtihani ulipo...tusikimbilie kusoma habari na propaganda za nchi za magharibi peke yake, tudadisi undani wa habari na propaganda hizo huku pia tukisoma habari na propaganda za nchi nyingine....

Mkuu we unaongelea vita iliyotokea miaka 70 iliyopita enzi hizo computer zipo chini ya tano dunia nzima na zina size kubwa ka nyumba. Korea ya kaskazini ni nchi moja maskini tu ambayo imepoteza hela yake yote kwenye military, GPD yao yenyewe ni $40Billion, yaani hadi Tanzania inaGPD zaidi ya mara tatu, thats not enough money ya kutisha taifa kama US ambalo linamwaga $600B kila mwaka kwenye military alone, hiyo ni mara 15 ya gdp ya NK inaenda kwenye military peke yake. Vita ikitokea there's no way South Korea itachapwa, one reason they are very strong, wana military si mchezo, kwa kua huwasikii usiwa~underestimate hawa jamaa, wana defense na attack systems decades ahead ya systems walizonazo north korea, hizi ballistic missiles wanazorusha to almost 1000Km sio kitu kama mass yenyewe wanayobeba ni ndogo, they can simply be put down kabla hazijafika popote, angalia Israel na Palestine walivyokua wanapigana missles za palestine zilizovyokua zinaangushwa utadhani wanacheza kombolela, sababu nyingine South Korea ina msaada wa US, US iko tayari kuwa~back down any time. There's no way North Korea atafanya chochote, ni majigambo tu, na sababu miaka yote hiyo hajafanya chochote ni kwa kua anajua kabisa akijaribu ataumia, anabaki kupiga biti tu kueneza propaganda zake kua ana nguvu kumbe wapi.
 
hawawezi kamwe,,,na kama wangeshaweza wangeshafanya,,kwani wameanza vituko leo,,,shida moja nyuma yake yupo mchina na mrusi,,mchina ndo atabeba wakimbizi na Russia,,so hakuna hiyo kitu,,,mjapani kwanza hana jeshi la vita labda us na korea kidogoo

Usiunderestimate mjapani kiasi hicho, according to CIA wamewapa Japan nafasi ya 7 duniani kwenye nguvu ya kijeshi, airpower zaidi ya 1,500. North Korea hawafikishi hata 200. Aircraft carriers wanazo 3, North korea hata 1 hawana, bado Defense budget japan inamwaga $40Billion kwenye military kila mwaka, hiyo ni sawa na GPA nzima ya North Korea. Kwa hiyo hata Japan peke yake anamuangusha mnorth vizuri tu, tena alivyo mbali atamchapia hewani tu.
 
Back
Top Bottom