Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 847
Hahahaha...you're indeed right boss.pro US vs Ant US unategemea nini?!
Hahahaha...you're indeed right boss.pro US vs Ant US unategemea nini?!
Hahahaaaaaaleo mmarekani anahangaika kufunga THAAD huko south korea halaf kuna vijitu vinabeza silaha za North kana kwamba wanambeza mmarekani anafunga THAAD for empty tent .
think you shold your **** up guys.
Hawawezi kumpiga hata kidogoLakini mbona hata South Korea wanapiga kelele Mara nyingi sana? Wanaopiga kelele siyo north Korea tu...hata SK na Japan vilevile wanahaha. Maana kama unaweza kumpiga Fulani...na uwezo na sababu unazo, kwa nini ulete maneno mengi? Propaganda tu hizi.
South Korea wamepiga kelele zipi? em nipe mfano moja, South Korea ni wapole sana, wanajaribu kila njia kuepuka mapambano na North Korea, wengine hadi wanatafuta njia za kuunganisha hizi nchi mbili zirudi kama zamani japo najua kwa hali ya sasa its next to impossible. Hizi military drills wanazofanya South Korea na US army kila mwaka sio kupiga kelele, ni mazoezi ya kijeshi kama ambavyo Tanzania hua mara kadhaa inafanya na nchi baadhi kama ilivyokua case ya Tanzania-Iran juzijuzi. Na Japan hata tusimuongelee, yule ndio hana muda na mtu kabisa, hadi nuclear program waliizuia ila doens't mean they can't handle nuclear, ni moja ya most advanced countries in technology they could do anything they want.
Hehehe mkuu seems like u really hate the US, ila hate them or love them, bado ni #1, labda litabadilika in the future ila not in the near one. We unaona kama propaganda ila ukubali ukatae their reach is so huge, wana military bases nyingi kuliko any country in the world, zimesambaa dunia nzima, kuinitiate an attack at any strategic point ni kitu they can do very quickly than any other country. Wana alliance kibao unlike any other military, hate the US mkuu ila ukweli utabaki kua ukweli.
Kuna member huko mwanzo ameandika kuna kaushabiki kanaendelea humu yuko sahihi kabisa na tena ni ushabiki wa kiwango cha juu sana, kuna wengine wana kimbia jamvi sababu ya ushabiki kama huu unaoandika wewe.
Wanakimbia coz they have nothing to say, kama walitaka kuipeleka thread pengine wanauwezo huo, for as long as tunaongelea mada ileile ya hii thread sioni tatizo. Inabidi ukubali kua watu tunafikiria tofauti na kureact tofauti towards kila kitu. Inabidi ukubali tu and live with it for as long as hatujavuka your borders in any way.
There's a reason kuiita hii site forum au social network. Mtu anaweza akaanza hata kuongelea mapenzi kwenye thread kama hii ukabaki unashangaa, ila its the way it is.
Wanakimbia sababu wanaona hii mijadala inapoteza mvuto na lengo kuu la kujifunza na kuelimishana katika Geopolitics, ushabiki huu ukizidi kama hivi mijadala inakuwa haina faida hilo kubali ukatae. Sio kweli eti "they have nothing to say" kama unavyofikiri.
Mkuu kwani kama mtu ana la kusema si anachangia tu na watu ambao wapo interested watasoma na wengine watajibu?
Inapoteza mvuto wakati watu wanareply na conversation inaendelea? Kila mtu ana kitu anachopenda kuongelea, kwa hiyo unataka tufuate preference ya mtu moja ambaye kashindwa kuongea chochote kisa tu anajisikia hivyo, I don't even know why we are arguing over such issue. Start a thread sema hapa wanachangia geopolitics tu, na toa conditions wanavyotakiwa kujibu. Our way of writing kwa kua it doesn't make you feel good doesn't mean its not right au mtu hawezi kusoma akapata kitu, umeiona iko hivyo sababu thats how you choose to see it. Mijadala inapoteza mvuto hehehe! come on man, walete alternative sasa sio kukaa kimya, there's no alternative either live with it or leave, hakuna police wa jf anayeweka rules ya mambo ya kusema na ambayo sio ya kusema.
leo mmarekani anahangaika kufunga THAAD huko south korea halaf kuna vijitu vinabeza silaha za North kana kwamba wanambeza mmarekani anafunga THAAD for empty tent .
think you shold your **** up guys.
Your joking my friend..Russia ame achiev nini syria?..Embu nipe mafanikio angalao 3 yanayoonekan ambayo russia amefanikiwa toka aingie syria?..ISIS wako pale pale na wanazidi kusonga mbele,waasi wa daesh wako palepale na sasa wanapigania kuimiliki aleppo.Russia amebaki kubomoa majengo tuu na hakuna cha maana hasa alichafanikiwa,cha zaid amekuja tu ku test silaha zake na ndege zake mpya..Mkuu asikudanganye mtu,hakuna chochote russia alichoa achieve syria.Wataalamu wanasema russia alitaka tu kutusahaulisha mambo ya ukrain basi...We hujiulizi ameingia syria hata mwaka haujaisha anatangaza ku withdraw?..Embu kaa chini jaribu kuilinganisha syria ya sasa na ili kabla ya russia kuingia utaona hakuna cha maana cha russia kujivunia..Na haohao CIA wanaotoa ranking za majeshi ya mataifa mbalimbali, wanaosema USA ndiyo inayoongoza duniani...mbona vikundi vidogo tu vinamhenyesha kule Iraq na Syria ? Na Russia ilingia last year na matokeo yake nimeyaona, wakati hao USA led coalition wametumia MIAKA kadhaa lakini hakukia na matokeo chanya kama ya Russia ndani ya muda mfupi. Propaganda tu hizo.
Hahahaaaa ushabiki mbaya sana IS wanakimbia na vikosi vya serikali vimepata unafuu wee unasema IS wanasonga mbele kuelekea wapi mkuu??Your joking my friend..Russia ame achiev nini syria?..Embu nipe mafanikio angalao 3 yanayoonekan ambayo russia amefanikiwa toka aingie syria?..ISIS wako pale pale na wanazidi kusonga mbele,waasi wa daesh wako palepale na sasa wanapigania kuimiliki aleppo.Russia amebaki kubomoa majengo tuu na hakuna cha maana hasa alichafanikiwa,cha zaid amekuja tu ku test silaha zake na ndege zake mpya..Mkuu asikudanganye mtu,hakuna chochote russia alichoa achieve syria.Wataalamu wanasema russia alitaka tu kutusahaulisha mambo ya ukrain basi...We hujiulizi ameingia syria hata mwaka haujaisha anatangaza ku withdraw?..Embu kaa chini jaribu kuilinganisha syria ya sasa na ili kabla ya russia kuingia utaona hakuna cha maana cha russia kujivunia..
Afadhali U.S anaweza kujisifia kusaidia majeshi ya Iraq kuwatimua ISIS kwenye maeneo mengi waliokuwa wanamiliki mwanzo,majeshi ya Iraq wanzidi kusonga mbele kuwasukuma ISIS.kibaya zaidi wanakimbilia syria na libya,na juzi US kawafuata hukohuko libya kuwapiga..
Mfanikio ya russia syria nin maneno matupu tuu zaid ya uhalisia wake.
Hahaha ISIS wanakimbia Iraq sio syria kwa taarifa yako.Syria,they are there to stay, na juzi wameangusha helcopter ya misaada ya russia...Hahahaaaa ushabiki mbaya sana IS wanakimbia na vikosi vya serikali vimepata unafuu wee unasema IS wanasonga mbele kuelekea wapi mkuu??
Wewe by nature ni mbishi hivi hizo taarfa wewe wazipata wapi??au upo katka uwanja wa,mapambano kwa hiyo kutungua zile helicopter ndio kuongezeka nguvu na kuendelea kuiteka ardhi ya SyriaHahaha ISIS wanakimbia Iraq sio syria kwa taarifa yako.Syria,they are there to stay, na juzi wameangusha helcopter ya misaada ya russia...
Hakuna achievement yoyote ya russia syria,hata Putin ukimuuliza ameachieve nini hadi sasa atakujibu kisiasa tuu lakini ukweli anaujua mwenyewe tu kwamba ngomba ni ngumu syria...We nci imebaki magofu tuu na bado russia wanaendelea kuibomoa afu wataondoka ivyo ivyo wakiacha magofu...Wewe by nature ni mbishi hivi hizo taarfa wewe wazipata wapi??au upo katka uwanja wa,mapambano kwa hiyo kutungua zile helicopter ndio kuongezeka nguvu na kuendelea kuiteka ardhi ya Syria
Mkuu tuishie hapoHakuna achievement yoyote ya russia syria,hata Putin ukimuuliza ameachieve nini hadi sasa atakujibu kisiasa tuu lakini ukweli anaujua mwenyewe tu kwamba ngomba ni ngumu syria...We nci imebaki magofu tuu na bado russia wanaendelea kuibomoa afu wataondoka ivyo ivyo wakiacha magofu...
Northkorea wana missiles tofauti na Rockets za Hamas. North korea wana guided missile hivyo wataamuru zishambulie maeneo gan Hamas wana unguided rocket hivi vinarushwa kwenye direction tu havina shabaha ndo maana vingi vilianguka kwenye open space...pay load ya missile ni kubwa saaana tofauti na viroket..Kuhusu kua Northkorea eti missile zimefail hiyo ni danganya toto kwan anaendelea kutest new system..Kwann IRAN iweze kumust tecknology ya makombora nauku baadh ya ujuz uliupata North?Mkuu we unaongelea vita iliyotokea miaka 70 iliyopita enzi hizo computer zipo chini ya tano dunia nzima na zina size kubwa ka nyumba. Korea ya kaskazini ni nchi moja maskini tu ambayo imepoteza hela yake yote kwenye military, GPD yao yenyewe ni $40Billion, yaani hadi Tanzania inaGPD zaidi ya mara tatu, thats not enough money ya kutisha taifa kama US ambalo linamwaga $600B kila mwaka kwenye military alone, hiyo ni mara 15 ya gdp ya NK inaenda kwenye military peke yake. Vita ikitokea there's no way South Korea itachapwa, one reason they are very strong, wana military si mchezo, kwa kua huwasikii usiwa~underestimate hawa jamaa, wana defense na attack systems decades ahead ya systems walizonazo north korea, hizi ballistic missiles wanazorusha to almost 1000Km sio kitu kama mass yenyewe wanayobeba ni ndogo, they can simply be put down kabla hazijafika popote, angalia Israel na Palestine walivyokua wanapigana missles za palestine zilizovyokua zinaangushwa utadhani wanacheza kombolela, sababu nyingine South Korea ina msaada wa US, US iko tayari kuwa~back down any time. There's no way North Korea atafanya chochote, ni majigambo tu, na sababu miaka yote hiyo hajafanya chochote ni kwa kua anajua kabisa akijaribu ataumia, anabaki kupiga biti tu kueneza propaganda zake kua ana nguvu kumbe wapi.
Nitakwambia jambo moja tu: Kama kweli North Korea ingekuwa haina lolote kijeshi, Kulikuwa hakuna sababu kwa Marekani kuendelea kuwa na askari wake 30,000 kule South Korea...Halafu, kitu kingine ni kuwa hivi unafahamu kuwa North korea na South Korea technically bado ziko vitani???? Vile vita vya miaka ya 50 havikwisha, vilisimama tu kwa muda....Naendelea kuwashauri watu kama nyie someni habari na propaganda za nchi za magharibi kwa umakini, na kwa udadisi zaidi...
Kama ingekua sio lolote wasingekua wanapiga kelele kila jamaa wakifanya jaribioMKUU UMenena ukweli kwa % kubwa.Nimesoma maoni yote humu ndani zote Ni pumba nafikiri hawajui nini kinachoendelea wamezoea kusoma western propaganda.US kasema will deploy THAAD system in South Korea by end of 2017 just to counter North Korea.Do u know how THAAD will threaten China &Russia national security?HAPO ndipo mtaona how China and Russia will counter-act.Humu ndani kuna mambulula.