North Korea Attempted Missle Launch Failed

North Korea Attempted Missle Launch Failed

Ka
Japo kuwa mitambo ya thaad yamefungwa s.korea sidhani kama yanaweza kuzuia silaha zote

Silaha zake zote anazitumia kupiga seoul tu ,tuone kama mbwai mbwai tu

Inawezekana test imefail lakini hao south huwa siwaamini sana sababu ni watu wa propaganda sana
Japo kuwa mitambo ya thaad yamefungwa s.korea sidhani kama yanaweza kuzuia silaha zote

Silaha zake zote anazitumia kupiga seoul tu ,tuone kama mbwai mbwai tu

Inawezekana test imefail lakini hao south huwa siwaamini sana sababu ni watu wa propaganda sana
kabisa, hizoo Terminal High Altitude Area Defence (THAAD) Hazipo effective Sana na hata haziwez kufua dafu kwa Operational Submarines-launched devices ambazo anazo N.Korea. Ndo mana Kuna tension kubwa Sana hasa S.korea na Leo VP mike Pence ataenda kuwatuliza Seoul.
 
Moab yaani mama wa mabomu, mother of all bomb hataree yaani kama vile sayari ya Jupiter imeanguka.
 
Kuna wamarekani humu walisema Anko Kim hawezi kufanya test eti babaao Marekani amemuonya,Kafanya sasa mnaanza kulia lia eti limefeli,kutest manaake kufaulu au kufeli,dada zenu south Korea Wanasema hiyo ni silaha mpya I najaribiwa,SASA MWAMBIENI HUYO MAREKANI ALIANZISHE ATAJUA KUWA NEW WORLD ORDER HAITAWEZEKANA.
 
Hizo ni propaganda zenye lengo la kubadili habari za maonesho ya silaha jana NK. Sasa habari itakuwa ni failed missile test launch ambayo ni fake news. Habari hewa.
 
Huyu mtoto hapana asee, kawashika pabaya.
Kwa mwendo huu na ujeuri huu wakithubutu kumshambulia anaweza kubonyeza Nuke.
Unadhan akibonyeza na yeye watamuacha, lazima watu walipize kisasi Nchi yenyewe ni ndogo.
 
Kuna watu humu wanashangilia
Kim apigwe ukimuuliza sababu nini? Jibu eti anamiliki nyukilia
hawa wanamiliki viazi au maandazi ISRAEL PAKISTAN INDIA USA CHINA RUSSIA UFARANSA UK
Sasa wengine wasimiliki kisa nini?
Istoshe N Korea hana ugomvi na nchi yoyote yeye anatengeneza nyuklia kwa usalama wa taifa lake
Na raia wake Usa kinachomuuma
Ni nini haswa? N Korea wana lifestyle yao ya kiungozi kiutawala hawataki kuamuliwa na yeyote yule ndiyo huko USA kuna MASHOGA WASAGAJI wenyewe wanasema haki za binadam na hakuna anayewalaumu
 
Imethibitika leo nuke yake ni uchwara. Sasa wanaweza kumshushia kipigo cha kufa mtu, ila bado wana wasi wasi ana madude gani mengne ambayo anaweza akatumia. Akijaribu kutest nuke kwa mara nyingine tena ikifail basi imekula kwake sidhani kama atamaliza mwaka huu akiwa madarakani. Kana kelele sana haka ambazo zinaweza kabisa kukaponza kakaishia kupata kichapo.

Mkuu BAK usitake kuwaponza wenzako., Kuna makombora mangapi ya Nukes walishayajaribu na yakafanikiwa? Umesahau lile hydrogen bomb lililojaribiwa siku chache kabla ya tetemeko la Kagera hadi likahusishwa nalo? Mkuu Wamarekani wenyewe wamekiri kuwa walimu-underestimate kiduku ila vyovyote vile yule dogo anazo silaha za mass destruction na hana cha kupoteza ila Marekani atakuwa nacho na kimoja wapo ni Globe Power superiority. So nahisi hao akina Trump na Mad Dog wake itabidi wawe Nice dogs this time. NK sio Syria mkuu. Bad enough hiyo taarifa kusema kuwa jaribio limefail limetoka kwa hasimu mkubwa wa NK, unategemea atamuongelea positive???
 
Western media zimefanikiwa kutuaminisha kuwa Kim ni chizi..although kweli ana mapungufu mengi sana especially ukiangalia welfare ya wananchi wake ila ukweli utabaki kuwa the guy should not be underestimated as long as hasumbui mtu Trump should mind his own business....mtu asiyeweza kuishi na mkewe atawezaje kuongoza nchi
 
Ka

kabisa, hizoo Terminal High Altitude Area Defence (THAAD) Hazipo effective Sana na hata haziwez kufua dafu kwa Operational Submarines-launched devices ambazo anazo N.Korea. Ndo mana Kuna tension kubwa Sana hasa S.korea na Leo VP mike Pence ataenda kuwatuliza Seoul.
Hv unaijua THAAD unasema tu!
Baba hyo ndo defence ya kwanza kama sikosei kwenye jeshi la Marekani ambayo kwenye majaribio yake haijawahi KUFELI.Ilitungua makombora yote kisawasawa kwa 100%.Jiulize kwnn China yupo radhi mahusiano yake na South Korea yaishe kisa THAAD maan kila siku anaBan bidhaa za south.China wanahofu hiyo system inapeleleza had ndani kabisa ya China.
 
Navyoona Trump ni kama anamvizia huyu Kim.na kwa uhakika bado marekani hawana uhakika na aina ya silaha alizo nazo N.Korea. marekani ataanzisha vita Mara tu atakapokuwa na uhakika Kim anayo aina gani ya makombora.
 
Or they could be playing with our minds pretending the bomb didnt launch then Us waje kichwa kichwa jamaa awatusue

Akili ya kim jong un sio wa kumwamini kabisa hasa ukizingatia ye hataki kuwa taifa kubwa duniani ila anataka heshima na uhuru wa kufanya anachotaka
Hahahah nami nahisi hivyo awaingize kingi then waelewane vizuri ndani, huyu dogo si wa kumwendea kwa kiburi kama Trump anavyotaka...!!!
 
Back
Top Bottom