North Korea Attempted Missle Launch Failed

Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,467
13,025
north-korea-attempts-but-fails-to-launch-missile-south-korea-2017-4.jpg

North Korea attempted to launch a missile on Sunday near Sinpo, on its east coast, but it is believed to have failed, South Korea's military said.

The attempted missile launch comes a day after the North held a military parade in its capital marking the birth anniversary of the state founder where what appeared to be new ballistic missiles were displayed.

"The North attempted to launch an unidentified missile from near the Sinpo region this morning but it is suspected to have failed," the South's Office of the Joint Chiefs of Staff said in a statement.

There were no further details, and the office said it was analyzing the launch.

The North launched a ballistic missile from the same region earlier this month ahead of a summit meeting between the leaders of the United States and China, its key ally, to discuss the North's increasingly defiant arms program.

Tension had escalated sharply in the region amid concerns that the reclusive North may soon conduct a sixth nuclear test or a ballistic missile test launch timed with the April 15 anniversary it calls the "Day of the Sun."

The White House has said U.S. President Donald Trump has put the North "on notice" while the possibility of U.S. military action against Pyongyang has gained traction following U.S. strikes against Syria on April 7.

North Korea attempts but fails to launch missile: South Korea
 
Ndio Break News kwa sasa all over the World ila Kim mjeuri jaman khaa..!!
America won't do anything as even themselves were aatonished and suprised to see North Korea had missiles tena Submarine capable of being launched to every corner of Washington! Wamekiri hawakuwa wanafahamu so Trump no matter anataka au hataki watamshauri tu afikirie mara mbili kuishambulia Korea.
 
Huyu mtoto hapana asee, kawashika pabaya.
Kwa mwendo huu na ujeuri huu wakithubutu kumshambulia anaweza kubonyeza Nuke.
 
Kabla ya Gwaride halijaanza jana mida ya saa kumi alfajiri huku kwetu kwao tisa mchana... ilifangulia hotuba ya kuionya Marekani kuwa jaribio lolote la kuishambulia DPK litajibiwa kwa Shambulio la Nyuklia hapo ilikua bado hawajaonesha hayo makombora yao. Baada ya gwaride kila mtu akashika kidevu akitafakari ile statement ya utangulizi.
Analysty kutoka CNN akasema DPK have nothing to loose but US and South Korea have.
Alaf akasema they were under estimated.
 
Imethibitika leo nuke yake ni uchwara. Sasa wanaweza kumshushia kipigo cha kufa mtu, ila bado wana wasi wasi ana madude gani mengne ambayo anaweza akatumia. Akijaribu kutest nuke kwa mara nyingine tena ikifail basi imekula kwake sidhani kama atamaliza mwaka huu akiwa madarakani. Kana kelele sana haka ambazo zinaweza kabisa kukaponza kakaishia kupata kichapo.

Huyu mtoto hapana asee, kawashika pabaya.
Kwa mwendo huu na ujeuri huu wakithubutu kumshambulia anaweza kubonyeza Nuke.
 
Huyu mtoto hapana asee, kawashika pabaya.
Kwa mwendo huu na ujeuri huu wakithubutu kumshambulia anaweza kubonyeza Nuke.
Siyo kwamba amaweza, mweleweni vizuri sana NK (sio yule mtoto) kwa Historia yake alishakataa kuonewa/kushambuliwa kimabavu. Atawajibu kwa nguvu kubwa sana bila kuchelewa. Jambo la kuzingatia hapo ni kwamba nuke ikifyatuliwa haina mdogo wala mkubwa. Tahadhali imetolewa
 
Ndio hiyo wamesema atafanyia jaribio lingine?
Wamarekani watakuwa waliangalia lile gwaride kwa umakini wa juu, kuona vizuri yale ma tunk yaliyopita pale.
 
White House is expected to make a written statement soon.

Ndio Break News kwa sasa all over the World ila Kim mjeuri jaman khaa..!!
America won't do anything as even themselves were aatonished and suprised to see North Korea had missiles tena Submarine capable of being launched to every corner of Washington! Wamekiri hawakuwa wanafahamu so Trump no matter anataka au hataki watamshauri tu afikirie mara mbili kuishambulia Korea.

Huyu mtoto hapana asee, kawashika pabaya.
Kwa mwendo huu na ujeuri huu wakithubutu kumshambulia anaweza kubonyeza Nuke.
Wazungu wa Kolomije (ukoloni kitu kibaya sana hasa ukiwa hujitambui) mie nilifikiri hamfahamu kabisa kiswahili
 
"• At this point, US military officials don't believe the missile had intercontinental capabilities, a US defense official told CNN. The official said the missile blew up so quickly there is limited data."
 
Siyo kwamba amaweza, mweleweni vizuri sana NK (sio yule mtoto) kwa Historia yake alishakataa kuonewa/kushambuliwa kimabavu. Atawajibu kwa nguvu kubwa sana bila kuchelewa. Jambo la kuzingatia hapo ni kwamba nuke ikifyatuliwa haina mdogo wala mkubwa. Tahadhali imetolewa

Naona Trump ame take high road this time na hajasema mengi tena kupitia msemaji. Kwamba kapata taarifa and then, "no further comment"
 
"• At this point, US military officials don't believe the missile had intercontinental capabilities, a US defense official told CNN. The official said the missile blew up so quickly there is limited data."
Hapa ndo sielewi vizuri, kwamba kwa miaka yote hiyo NK awe anamiliki "manati"? Hebu wasitengeneze mazingira ya kutaka umma ushituke kama baadhi humu wanavyoichukulia poa NK as if imeanzia kwa Kim Jong-Un. Hawa wamejizatiti kwa muda mrefu and once again I repeat - HAWATANII.
 
Haha, eti manati. :D
Mkuu JB naona wa US walikuwa wanasubiria kwa hamu.

'• US Pacific Command said it tracked a missile launch at 5:21 p.m. ET and said the missile blew up almost immediately.'
 
Or they could be playing with our minds pretending the bomb didnt launch then Us waje kichwa kichwa jamaa awatusue

Akili ya kim jong un sio wa kumwamini kabisa hasa ukizingatia ye hataki kuwa taifa kubwa duniani ila anataka heshima na uhuru wa kufanya anachotaka
 
Back
Top Bottom