Non-granta kwa Polepole

Non-granta kwa Polepole

Anyangwanye ubalozi na uraia mapema asubuhi. Asizidi kuvuruga Amani yetu
FIkra hopeless kabisa! Mnaropoka kama vile kichwa ndani hakina ubongo!

Ni wapi uliwahi kusikia mtu amewahi kunyang'anywa haki ya kuishi kwenye taifa lake?

Hivi unadhani uraia unagawiwa na kuondolewa kama kanzu?

Hakuna mtu wa kumnyang'anya Polepole au raia mwingine yeyote haki yake ya asili ya kuishi nchini mwake, labda mwenyewe aamue kuwa mkimbizi au aamue kuukana uraia wa Tanzania. Vinginevyo hakuna mwenye uwezo wa kumnyang'anya Polepole haki yake ya asili, kwa vile amekemea uovu.
 
kuichafua nchi katika jumuiya ya kimataifa.

Watanzania tunajali na tunapenda nchi yetu ionyeshe mfano mzuri, na iheshimiwe.
Kwani wewe ni mtanzania? Sidhani kama kuna mtanzania halisi mwenye fikra duni kwa kiasi cha kiwango chako!

Watanzania wamewapokea na hata kuwaruhusu watu wasio watanzania asilia, mpaka kuwapa na madaraka, halafu ikawe Polepole ambaye ni mtanzania asilia?
 
..mfokee mtoa mada.

..au wafokee watawala wenye magenge ya utekaji, na uuaji?

..kati yangu mimi na watawala wanaoamuru watu watekwe na wauwawe nani ana fikra duni?
 
Inabidi upewe elimu ya hivyo vitu vinafanyaje kazi
 
Inabidi upewe elimu ya hivyo vitu vinafanyaje kazi
 
Anyangwanye ubalozi na uraia mapema asubuhi. Asizidi kuvuruga Amani yetu
Ndo matatzo ya kuivisha wanasheria wajinga na vilaza mwalimu wako wa Constitution alkuambiaje kuhusu uraia? Kwamba mtu akijskia anaweza nyang'anywa uraia kijinga kama mnavyotoa maoni yenu?
 
Back
Top Bottom