Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 273
- 469
- Thread starter
-
- #41
Ukipita huko niulizie tu mkuu niifuate commission yako ipo....naogopa nitapuyangaa sana door to doorSs kwani Dsm imeishia mbezi tu,Njoo pia huku kitumbini,njoo k.koo mtaa wa mkunguni huku
Sio usumbufu chief nimehakikishiwa non alcohol zipoNi kama tu analeta usumbufu, kama ni monde apigeee au Juice tu, sio vuguvugu...anataka ladha za wine alafu hataka kulewa...
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Upo sahihi 100%Kuna siku nimeenda Sinza nikawa naulizia madukani aisee nikakutana na mchaga mmoja alinambia hivho kitu hakipo. Anadai wine ni kitu kilichochacha na hakiwezi kukosa alcoholi
🤣 🤣 🤣 🤣 eti ukiona haina kilevi hiyo ni champagne🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila kwenye vipindi vingi vya South nimeona wanauza un alcoholic wines, ila bongo sijajua kuwa zinauzwa wapi. Ila kama ukiona wines hazipo unaweza furahia kutumia champaigne. .
Kwa kifupi hakuna wine yenye 0.0%ABV...hakuna!! wine yoyote ni matokeo ya fermentation ambayo itazalisha ethanol,co2.ni vema kujua kwanza nini maana au tafsiri ya wine kwa kiswahili ni nini,ukishajua ndio utajua kama unachokitafuta unaweza kukipata,kwa tafsiri ninayoifahamu mm wine ni mvinyo na maana halisi ya mvinyo ni kinywaji cha kileo kilichotengenezwa na uchachu wa asili wa zabibu au juisi nyingine yoyote ya matunda.
(kileo)
Mkuu kama unalewa ni wewe mimi silewi kabisaDrostyd hof haileweshi umeinywa kweli
Kweli mkuu silewi yani mpaka niiongezee kitu cha 42.2%Mkuu siyo kwamba wewe ndiye hulewi(yaani mgumu or sugu)waiwekee % na isiwe alcoholic mmh
Aaaahkwa kifupi hakuna wine yenye 0.0%ABV...hakuna!! wine yoyote ni matokeo ya fermentation ambayo itazalisha ethanol,co2.
Mleta mada utapata wine yenye kilevi kidogo ila sio 0.0% hicho kitu hakipo. Afu uache kutusumbua we mama!! km unataka hiyo taste nunua wine mix na maji alaa!
We noma mkuu😀😀Kweli mkuu silewi yani mpaka niiongezee kitu cha 42.2%
Hiyo taste matata sana uliijuaje mpendwa!?No.haiwezi kuwa na taste kama ya wine.
Wine inataste yake matata sana
AsanteeeHongera kutotumia alcohol mkuu
Wakati nasimamia harusi ya rafiki yangu maharusi walipewa mvinyo ule unaotumika madhabahuni nasi wasimamizi tulipewa tukanywa kidogo..Hiyo taste matata sana uliijuaje mpendwa!?
We mama Nehemiah weweWakati nasimamia harusi ya rafiki yangu maharusi walipewa mvinyo ule unaotumika madhabahuni nasi wasimamizi tulipewa tukanywa kidogo..
Ndo nasikia ina kilevi pia..ila mimi nilikunywa kama vijiko vinne tu nikafall in loveWe mama Nehemiah wewenani alikwambia mvinyo wa madhabahuni hauna kilevi??
Mmmh zina alcohol nimezichunguzaSupermarket zimeandikwa Red wine bila shaka
Nunua zabibu jitengenezee juiceNapenda taste ya zabibu nzitoooooo... ila nisilewe coz situmii pombe kabisa.
niambie niifuate wapi?
Kwenye drostyd hot umemdanganyaKuna moja inaitwa Thomson & Scott.
Ila kuna nyingine huwa natumia haileweshi na sijui kwa nini waliiwekea parentage za Alcohol,
Tumia Drostyd Hof.
Zero AlcoholMmmh zina alcohol nimezichunguza
NitaitafutaZero Alcohol