Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 274
- 470
- Thread starter
-
- #21
Loh asante sana...wacha niitafute nitakupa mrejeshoKuna moja inaitwa Thomson & Scott.
Ila kuna nyingine huwa natumia haileweshi na sijui kwa nini waliiwekea parentage za Alcohol,
Tumia Drostyd Hof.
Inaitwaje?wapi..Dodoma kubwaDodoma ipo mkuu
Drostyd hof haileweshi umeinywa kweliKuna moja inaitwa Thomson & Scott.
Ila kuna nyingine huwa natumia haileweshi na sijui kwa nini waliiwekea parentage za Alcohol,
Tumia Drostyd Hof.
Tafuta Coventry yeyote ya masista wakatoliki utapata.. Though kwasababu hujui hifadhi itachacha nakuwa pombeNapenda taste ya zabibu nzitoooooo... ila nisilewe coz situmii pombe kabisa.
niambie niifuate wapi?
Kama anakichwa kibovu lazima a wakeWine jaribu Altar wine… inasemekana haina kilevi, na kama kipo ni kwa asilimia ndogo.
Otherwise go for champagne
Katika wine hatari droatyd hof nimoja ya wine ngumu sanaaDrostyd hof haileweshi umeinywa kweli
Utafute ipi? Hiyo Drostdy hof usijaribu… utawaka vibaya sana, red wine yake kwanza ni dry, pili ina alcohol 12.7Loh asante sana...wacha niitafute nitakupa mrejesho
Kunywa juice ya zabibuNimezichunguza altar wine.. zina kilevi asilimia fulani..nahitaji 0.0% alcohol wine
Ss kwani Dsm imeishia mbezi tu,Njoo pia huku kitumbini,njoo k.koo mtaa wa mkunguni hukuWakuu nahitaji Non Alcohol Wine(0.0%)..
kuna maduka 2 ya pombe kali mbezi Luis nimejaribu kuulizia wanasema hawana wanazo zenye alcohol tu.
Anayefahamu naomba anijuze niifuate popote dsm wine isiyo na kilevi kabisaaa
si unywe juic ya embe tuWakuu nahitaji Non Alcohol Wine(0.0%)..
kuna maduka 2 ya pombe kali mbezi Luis nimejaribu kuulizia wanasema hawana wanazo zenye alcohol tu.
Anayefahamu naomba anijuze niifuate popote dsm wine isiyo na kilevi kabisaaa
Mkuu siyo kwamba wewe ndiye hulewi(yaani mgumu or sugu)waiwekee % na isiwe alcoholic mmh😂Kuna moja inaitwa Thomson & Scott.
Ila kuna nyingine huwa natumia haileweshi na sijui kwa nini waliiwekea parentage za Alcohol,
Tumia Drostyd Hof.
Hainifai ina alcohol..nilishagoogleUtafute ipi? Hiyo Drostdy hof usijaribu… utawaka vibaya sana, red wine yake kwanza ni dry, pili ina alcohol 12.7
Itakuwa ni last optionKunywa juice ya zabibu
Ya embe ninayosi unywe juic ya embe tu
Uko wapi niifuate jpili hii?Mimi ninazo boss...divai 0% alcohol
Kwa 12k tu...jipatie tully's wine
Ni kama tu analeta usumbufu, kama ni monde apigeee au Juice tu, sio vuguvugu...anataka ladha za wine alafu hataka kulewa...Kunywa juice ya zabibu
Aisee..Utafute ipi? Hiyo Drostdy hof usijaribu… utawaka vibaya sana, red wine yake kwanza ni dry, pili ina alcohol 12.7