Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 275
- 475
Tusubiri wajuzi wajena mimi nataka pia hiyo km ipo
Nipo Dar newala napasikia tuKm mbezi umekosa utaipata huku newala kweli?????
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dahNipo Dar newala napasikia tu
Napenda sana taste ya maji ya zabibu nzito kama wine.shampeni hapanaKuna siku nimeenda Sinza nikawa naulizia madukani aisee nikakutana na mchaga mmoja alinambia hivho kitu hakipo. Anadai wine ni kitu kilichochacha na hakiwezi kukosa alcoholi
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] eti ukiona haina kilevi hiyo ni champagne[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila kwenye vipindi vingi vya South nimeona wanauza un alcoholic wines, ila bongo sijajua kuwa zinauzwa wapi. Ila kama ukiona wines hazipo unaweza furahia kutumia champaigne. .
Napenda taste ya zabibu nzitoooooo... ila nisilewe coz situmii pombe kabisa.Sasa si unywe mma tu non alcoholic for what..
Nimezichunguza altar wine.. zina kilevi asilimia fulani..nahitaji 0.0% alcohol wineWine jaribu Altar wine… inasemekana haina kilevi, na kama kipo ni kwa asilimia ndogo.
Otherwise go for champagne
Napenda taste ya zabibu nzito..niliambiwa zinapatikana wine zisizo kileviHahaha unatakiwa unywe champagne ndugu....non alcoholic...sasa haupendi kilevi kwanini unataka ufanane na wanaotumia kilevi...??
No.haiwezi kuwa na taste kama ya wine.Juisi ya zabibu