noma tupu

BM, Nimeburudishwa sana na ile ya watu walioshikishwa ukuta na polisi - akiwamo mbwa!! kila nikipata ile picha ya yule mbwa alivyoshika ukuta - sina mbavu! thanks mkuu, keep it up
 
BM, Nimeburudishwa sana na ile ya watu walioshikishwa ukuta na polisi - akiwamo mbwa!! kila nikipata ile picha ya yule mbwa alivyoshika ukuta - sina mbavu! thanks mkuu, keep it up
Huyu mkuu game theory ni mwehu kweli,nimecheka mpaka bhac,picha ya washikishwa ukuta na picha namba 1, loh
 
baada ya kusoma comment za wadau nikaamua kuangalia tena hizo picha, nimecheka sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…