Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Huyu mkuu game theory ni mwehu kweli,nimecheka mpaka bhac,picha ya washikishwa ukuta na picha namba 1, lohBM, Nimeburudishwa sana na ile ya watu walioshikishwa ukuta na polisi - akiwamo mbwa!! kila nikipata ile picha ya yule mbwa alivyoshika ukuta - sina mbavu! thanks mkuu, keep it up