Al Ittihad vs Al Ahly: Vibe la mashabiki ni noma

Sasa wacheze mpira tu bila fitina fitina. Wacheze mpira fair play play. Sio ile mipira yao ya kufanyiana hujuma,mpaka kuwanunua marefa. Hivi ndio wanasema wameshika dini wale?. Kwa vurugu zile wanazofanyiwa wapinzani zile kweli wale magaidi wale
 
Usiombe ukutane nao mechi za mtoano wanakutoa kwenye game na hujuma zao yaan kwanzia mashabiki wao hadi wachezaj
 
Misri wana dini lakini hawajashika dini.
Misri ni nchi yenye janja janja za kila aina.
Usirogwe kuwaamini rai wa nchi hiyo kwa sababu ya dini yao, utalia.
 
Sasa wacheze mpira tu bila fitina fitina. Wacheze mpira fair play play. Sio ile mipira yao ya kufanyiana hujuma,mpaka kuwanunua marefa. Hivi ndio wanasema wameshika dini wale?. Kwa vurugu zile wanazofanyiwa wapinzani zile kweli wale magaidi wale

Wewe sio mwanasoka, wanafanyiana vipi hujuma!! Unajua maana ya fitina/hujuma? Au ndio kukariri huko!

Kataa kubali, pinga usipinge waarabu sio level yetu

Usiombe ukutane nao mechi za mtoano wanakutoa kwenye game na hujuma zao yaan kwanzia mashabiki wao hadi wachezaj

Umekariri, pole sana.
 
Wewe sio mwanasoka, wanafanyiana vipi hujuma!! Unajua maana ya fitina/hujuma? Au ndio kukariri huko!

Kataa kubali, pinga usipinge waarabu sio level yetu

Umekariri, pole sana.
Sio kukariri bobu
Si tunawaona waarabu walivyo kwenye mechi zao hasa wanapokuwa kwao
em karudie kuangalia mechi ya future vs singida
Alafu uone nani aliyekariri
 
Unafananisha future na singida kweli!! Jibu hoja, acha matusi

Kubali kataa waarabu sio level yetu, waarabu wanajua mpira, huku kwetu ni figisu na siasa tu.
 
Wewe sio mwanasoka, wanafanyiana vipi hujuma!! Unajua maana ya fitina/hujuma? Au ndio kukariri huko!

Kataa kubali, pinga usipinge waarabu sio level yetu

Umekariri, pole sana.
Hili neno kukariri. Naona umelizoea bila sababu
 
Unafananisha future na singida kweli!! Jibu hoja, acha matusi

Kubali kataa waarabu sio level yetu, waarabu wanajua mpira, huku kwetu ni figisu na siasa tu.
Hao future walifungwa huku na singida na kule kwao walipigwa moja na singida ndipo wakaanza figisu kujiangusha kurusha chupa uwanjan na kupoteza muda na kuwatoa singida mchezoni
Hivi ulkua unacheki game kweli au ulkua unadinywa bobu
 
Game iliisha kwa al ahli ya kina mahrez kushinda goli 1.. goli alifunga frank kessie,yule jamaa ni fundi saana, ni kama namuona thomas partey uwanjani.

Benzema dk za nyongeza alifunga bonge la goli ila alikuwa offside.
 
Back
Top Bottom