Noma sana

Bengalisis

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Messages
386
Points
500
Bengalisis

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2018
386 500
Hahahahahah
Hebu fanya hamu siku moja nawe upitepite mitaa ya Mikanjuni, Sahare, Makorora, Mabanda ya Papa, Ngamiani n.k usikie harufu ya hiliki na viungo kuanzia vya chai hadi vya pilau. Wenyewe wanasema watu wa Bara wanachemsha chai wakati Tanga chai yapikwa :D ;)
 
mbongo_halisi

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Messages
4,447
Points
2,000
mbongo_halisi

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2010
4,447 2,000
Bora kidogo hao mkuu, usiombe ipikiwe wali na muhaya daaaaah, utokula kabisa

Yaani hawa kama umezoea kula vizuri, never date msichana wa kihaya kwani akikupikia lazima utapatwa na muharo wa damu au kipindupindu. Yaani they are so useless in cooking, wao wanadhani kila mtu anakula wadudu (senene) na matunda (ndizi) as chakula. Yaani unachemsha tu basi kimeiva.
 
Bengalisis

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Messages
386
Points
500
Bengalisis

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2018
386 500
Ni sheeeeedah
Yaani hawa kama umezoea kula vizuri, never date msichana wa kihaya kwani akikupikia lazima utapatwa na muharo wa damu au kipindupindu. Yaani they are so useless in cooking, wao wanadhani kila mtu anakula wadudu (senene) na matunda (ndizi) as chakula. Yaani unachemsha tu basi kimeiva.
 
Forum statistics

Threads 1,295,921
Members 498,479
Posts 31,228,229
Top