Noma sana

Noma sana

Kazi ya wazazi wake ilikuwa Nini?
Usikute na mahari kibao wamekutoza.

Wazazi mke kazi yake sio kutiana tu.
Kama ningekuwa nataka kutiana ningekuwa nanunua kila siku wanaouza kibao.
Na kuzaa wanazaa.
Mama huwezi kutembea barabarani unajisifu nina watoto wa kike hata kupika. Hawawezi.
Chai tu inawatoa jasho.
Acha roho mbaya mkuu
 
Ni vitamu kupita kiasi
Huwa vinapikwa ramadhani kwa baadhi ya maeneo ya pwani
Kwani unguja hampiki
Hajar
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we naeee. Hata hujui kudanganywa.

πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ maana waleta na ushahidi kabisa lol.

Huwa tunapika. πŸ™ˆπŸ™ˆ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we naeee. Hata hujui kudanganywa.

[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️ maana waleta na ushahidi kabisa lol.

Huwa tunapika. [emoji85][emoji85]
Kudanganywa sijazoea
Ila najitahidi nije unguja nione michenzani
 
Back
Top Bottom