Nolle prosequi iliyotabiriwa itatolewa kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ikifika 14.12.2021 imepotelea wapi

... mmeona aibu mkaja kivingine! Inatafutwa namna ya kuficha aibu.
Haha ndiyo maana CHADEMA hawakwenda kwenye mkutano wa hali ya siasa na demokrasia ya vyama vingi kumbe walikuwa wakisubiri Nolle prosequi ya Mbowe
 
Haha ndiyo maana CHADEMA hawakwenda kwenye mkutano wa hali ya siasa na demokrasia ya vyma vingi kumbe walikuwa wakisubiri Nolle prosequi ya Mbowe
Kesi iendelee ili tujue mbivu na mbichi
 
Haha ndiyo maana CHADEMA hawakwenda kwenye mkutano wa hali ya siasa na demokrasia ya vyama vingi kumbe walikuwa wakisubiri Nolle prosequi ya Mbowe
... unaamini kabisa mkutano wa akina momose na lyatonga nao ni mkutano wa vyama vya siasa? Be serious chief!
 
Haha ndiyo maana CHADEMA hawakwenda kwenye mkutano wa hali ya siasa na demokrasia ya vyma vingi kumbe walikuwa wakisubiri Nolle prosequi ya Mbowe
Jaji Mkuu mama Hangaya bado hajakamilisha muhtasari wa hukumu yake kama rejea ya DPP kwa utekelezaji. Subiri.
 
Wametengeneza Movie ya Wadau wa Demokrasia
Wakamtumia Yuda Kuomba Msamaha
... kitaeleweka tu! Haki ya mwenye haki itacheleweshwa tu ila haitapotea; hilo ni agano toka Kiti cha Enzi; wanajifanya hamnazo.
 
kwa hali ilivyo kwa sasa hii kesi isi ishie njiani, hakuna cha kufutwa walla cha msamaha, kama mwamba unafungwa ufungwe….
 
... kitaeleweka tu! Haki ya mwenye haki itacheleweshwa tu ila haitapotea; hilo ni agano toka Kiti cha Enzi; wanajifanya hamnazo.
Kweli atapata haki yake- KIFUNGO KWA UGAIDI- akimaliza kifungo- ATARUDISHIWA HAKI YAKE YA KUWA RAIA MTII NA MHESHIMU SHERIA
 
Kweli atapata haki yake- KIFUNGO KWA UGAIDI- akimaliza kifungo- ATARUDISHIWA HAKI YAKE YA KUWA RAIA MTII NA MHESHIMU SHERIA
... uwezo wako wa kuelewa ni sifuri! Haki ya mwenye haki ni kifungo?
 
Back
Top Bottom