nokia wazindua charger za sola kenya

nokia wazindua charger za sola kenya

simu zipo mfano iphone ina software unayofanya kioo kitumike kama sora pia simu ya htc nyingi huitaji kuwa na chaja, pia htc wamefika mbali sana hata kelele zinachaji simu. Ni pesa yako tu mkuu

Hakuna kitu kama hicho prove it
 
  • Thanks
Reactions: SMU
ni kweli nimetumia nina uhakika na ninachozungumza usiseme hakuna kitu kama hicho kwa ulimwengu wa sasa,maana mm nipo kwenye 'industry' hiyo mkuu

So hio htc na makelele yake yanayochaji ukiwa congo haiishi charge hahaha na kioo kimeanza lini kupitisha umeme?

Mkuu maybe ni concept lakini mpaka sasa technology kubwa kabisa ya kucharge ni wireless charge ya lumia 920 hizo nyengine noo
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hapo chief umenena.... Mtu kaona simu imeandikwa kua ina specs za kushangaza anabeba tuu bila kusoma maelezoo.. Kumbe ni concept phone... Mfano kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa ile transparent phone ipo... Kumbe ni concept phone na wala hamna kitu kama hcho... Wanaishia kumpa big up apple kwa kituu ambacho hajafanya... Then kama umeme unaweza kutengenezwa kwa makelele bas kuna haja ya kupeleka hz6o simu kariakoo. Kama wireles charge imepata umaaruf hvo kwanini hii ya makelele isipewe promo. Tena ingekua technology ya mwaka.... Tufikirie kwanza jaman
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Similar Discussions

Back
Top Bottom