nokia wazindua lumia phones 2 kucompete na android za bei rahisi

nokia wazindua lumia phones 2 kucompete na android za bei rahisi

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,262
Reaction score
44,391
moja kati ya kitu ambacho windows phone ameshindwa na android ni bei, simu njingi za wp zinauzwa bei ghali lakini leo nokia wamezindua simu za bei rahisi kabisa za windows phone. simu zote zina processor za dual core 1 ghz na ram 512 mb na kuzifanya ziwe sio tu bei rahisi bali pia zilete perfomance kubwa.

lumia 520 simu rahisi zaidi ya windows phone
bei ni euro 139 kama laki 2 na elfu 80, kama nlivotaja hapo juuspecification za ukweli simu hii imetengenezwa kwa ajili ya asia na africa na bei hio haijajumuisha kodi.

vitu muhimu kwenye hii simu

  1. ina super sensitive screen inayogusika na gloves, kucha na vyenginevyo
  2. inakuja na built in apps kama za lumia 920 mfano cinemagraph, smartshoot
  3. ina perfomance kubwa na storage, processor 1ghz dual core, ram 512, internal 8ghb na memory card hadi 64gb
  4. masaa hadi 9 ya kuongea kwa 3g
  5. kioo cha inchi 4
  6. speed ni hadi 21 mbps
  7. inatumia windows phone 8
  8. rangi nyingi kuchagua

nokia lumia 720 stylish phone kwa bei rahisi
hii ni euro 249 kama laki 5 hivi unaweza ukaona ni kubwa lakini kwa simu hii si kubwa. ina hadhi ya flagship. ipo kama 520 kwenye specification ila vimeongezeka vitu vyengine kama camera na wireless charging

vitu muhimu kwenye hii simu

  1. wireless charging
  2. kioo 4.3 inch supersensitive
  3. camera 6 megapixel inapiga picha za lowlight kama l920
  4. rangi nyingi za kuchagua
  5. speed hadi 21 mbps
  6. battery kama ya lumia 920 2000mah masaa 13 ya kuongea
  7. camera ya mbele inayopiga wide angle mnaeza kaa watu wanne na mkatoka wote bila kukatwa
hizi ndo silaha mpya za nokia je atatoka?

na leo nokia wamesema store yao imefika apps 130,000+
 
Nawakubali Nokia na window phones zao ila kinachonisikitisha ni kutokuwa na function ya kutransfer documents kama pdf kutoka kwenye computer kwenda kwenye simu!!! ukitaka kutransfer documents basi ni lazima uapload kwenye either email,skydrive dropbox n.k then udownload tena kwenye simu yako!!!
 
HAPA BONGO ZIPO?BEI GANI ZINAUZWA?(Tsh)
 
mkuu sjatumia wp8 ila nachofahamu inakubali drag and drop kama symbian (ukumbuke wp8 sio wp7.5)

so drag and drop hua haichagui chochote inabeba hebu cheki hii article jamaa anavyohamisha pdf

Windows Phone 8 Tip: Browse the Phone's File System | Windows Phone content from Paul Thurrott's SuperSite for Windows
 
HAPA BONGO ZIPO?BEI GANI ZINAUZWA?(Tsh)

mkuu hizi simu ni mpya hizi 2 na kufika bongo ni mwezi wa nne.

Kwa 520 itauzwa 350,000 (estimated)
na 720 itauzwa 600,000 (estimated)

ila kama una ndugu nje na akakulete unaweza zipata kwa bei hizi
520 kwa 280,000
720 kwa 500,000

sasa hivi tanzania simu zilizopo ni lumia ambazo zinatumia windows phone 7.5 ambayo si nzuri kama windows phone 8.

Nakupa na tip tu ya kuzititofautisha wp7.5 simu zake zinaishia na 00 au 10 yani kuna lumia 510,610, 710, 800 na 900

wakati wp8 hizi mpya zote zinaishiwa na 20 yani kuna 920,820,720,620 na 520
 
Asante Chief-Mkwawa kwa kunielewesha.nina imani na wengine walipata somo hili.Big up sana.
 
Baada ya samsung galax pocket kufanya vizuri na kuwa mkombozi kwa watu wa kipato cha chini naona makampuni mengne yanaiga,nimeona apple nae anakuja kutoa ipad mini katika majira ya joto mwaka huuu
 
Baada ya samsung galax pocket kufanya vizuri na kuwa mkombozi kwa watu wa kipato cha chini naona makampuni mengne yanaiga,nimeona apple nae anakuja kutoa iphone mini katika majira ya joto mwaka huuu
 
Baada ya samsung galax pocket kufanya vizuri na kuwa mkombozi kwa watu wa kipato cha chini naona makampuni mengne yanaiga,nimeona apple nae anakuja kutoa iphone mini katika majira ya joto mwaka huuu

mkuu nafkiri samsung ndo aliiga nokia na always ningar humu ndani alikua anaomba nokia arudie strategy yake ya zamani.

Kama umetumia symbian hili unalijua simu kama e71, e75, e72, n80, e73, e55, e51, .......... Zipo nyingi variety zinafika 40 na zote zilikua cheap na hazitofautian sana anabadili macover tu.

Sio nokia tu alikuepo pia sony ericson nae anatumia hio hio symbian very cheap

So sidhan statement yako kua watu wanamuiga samsung ni kweli
 
Nokia mambo yote,nimetumia nyngne but ntarudi kwa nokia
 
mbona bei bado ipo juu 280k na 500k wakati techo T1 zina android os bei yake haifika 200k
 
mbona bei bado ipo juu 280k na 500k wakati techo T1 zina android os bei yake haifika 200k

mkuu hio nokia 520 ukiisimamisha na samsung galaxy s2 inamshinda huyo galaxy. Unapoambiwa cheap ni ile bei na perfomance unayopata.

Tecno t1 ni cheap sawa lakini specs je? Zipo ndogo sana huwez eka apps nyingi, ukizieka ikijaa kidogo inakua slow inabidi uformat uanze upya.
 
Kuna Tecno mpya N7 balaa
 
Nokia Lumia 520 mlimani city voda shop laki 4.5,na tigo shop laki 4. my coisin kanunua 2 wks ago.
 
yah mjadala nimeupenda lkn sijaelewa bei unaposema cheap ikiwa huko amazon wakati ikitua bongo bei ni mara 2.5 au 3,mfano midicom ambae ndiye wakala wa nokia A.mashariki bei anazotangaza na zinazouzwa maduka yenye label ya midcom ni tofauti. Kwa ufupi biashara za bongo ni za kutiana umaskini labda mtu anunue moja kwa moja nje ya nchi
 
Nokia Lumia 520 mlimani city voda shop laki 4.5,na tigo shop laki 4. my coisin kanunua 2 wks ago.

si kweli mkuu hii simu itaanza kuuzwa april na imezinduliwa leo.

Labda uwe unasema lumia 510 ambayo ni bei ghali zaidi ya 520
 
Back
Top Bottom