Nokia To Release Its First Android Phone

Nokia To Release Its First Android Phone

kaka kuna tetesi mwezi wa 5 mpaka wa 7 kunatoka midrange ya Nokia android yenye specs kubwa zaidi.
.....

Hivi issue ya Nokia kununuliwa na Microsoft kwani imeishia wapi? Si nilisikia mwaka huu mwanzonii Nokia wanaacha kutengeneza Asha na Lumia, wanaendeleza Feature Phone, Software, na bidhaa ndogo ndogo kama Torch, Radio, etc?
 
kuna maeneo dili halijakubaliwa bado mpaka wakubaliwe. China wanakataa kuprove sababu wanaamini Nokia akiwa bila part ya simu ataanza kufatilia patent zake na kuzidhuru kampuni za kichina. hivyo wanataka agreement na Nokia kwanza kuhusu hilo ndio waprove.
 
chief-mkwawa jamaa wa jola wamewaambia watu wanaorudisha samsung ili wapewe nokia waache maana sailfish inakuwa ported to samsung older phones. Kwa iyo wale wa galaxy s1 wataweza kubadili os
 
Last edited by a moderator:
Simanishi kwenye mauzo no na maanisha kuingia mkataba wa kutoa window phone sio siri kabugi nilichukua lumia 800. Dah kumbe hamna kitu kaweka uwezo mkubwa wa kamera tu,nimetumia wiki tu nimeipaki kwenye kabati.

Bora hata nyie mliojaribu hata kutumia wp, mimi sijawahi kutumia na ninaichukia sana hii os, ila kama nokia kwa mtindo huu wa google huenda nikarejea nokia kwa kasi
 
chief-mkwawa jamaa wa jola wamewaambia watu wanaorudisha samsung ili wapewe nokia waache maana sailfish inakuwa ported to samsung older phones. Kwa iyo wale wa galaxy s1 wataweza kubadili os

ndo biashara hio kaka. wenyewe hawa hawajatuonesha how smooth app za android zinavyorun kwenye os yao.
 
Last edited by a moderator:
.
Mtoto akifanya makosa kwa baba....
Alafu akajifanya analeta jeuri huwa anaachwa...
.
Baadae akigundua hataanza moja kwa moja kwenda kwa baba bali utamuona akifua suruali/mashati ya baba bila kuambiwa yeye mwenyewe tu atajifanya anajitolea
.
Lakin inapaswa asamehewe mana kaisha tambua makosa yake
.
Nokia hawezi kuanza na Google moja kwa moja mwache tu ajisafishe kwanza... Na AOSP
Kwa kosa alilolifanya la kubase na WP

Ku base na Windows Sio Tatzo........... Mbona Samsung, Htc, ZTE, Huawei pia wanatumia windows............ Wale wanatofaut zao tofaut... remember pia android inaingia mjini pia Symbian ya nokia ndo ilikua babalao so nokia asingeweza hama.. ilmbid ashindane had anaposhindwa... pia Kuna ushindan kwenye nokia map na google map
 
Ku base na Windows Sio Tatzo ndo linalo mgharimu nokia........... Mbona Samsung, Htc, ZTE, Huawei pia wanatumia windows............ wana android pia Wale wanatofaut zao tofaut... remember pia android inaingia mjini pia Symbian ya nokia ndo ilikua babalao hakuna anaepingaso nokia asingeweza hama.. ilmbid ashindane had anaposhindwa... pia Kuna ushindan kwenye nokia map na google map google never defeat
.
Nadhani umenielewa
 
Hatimaye wameachia, hahahaaaa!

“Android runs the world”
 
Em acheni kua excited... Hii ni romored hakuna aliyeprove hilo.. site zote wanasema ni romored ila jamiiforums tu ndio nashangaa mtu anakuja na kusema ana uhakika na hilo. huo uhakika yeye ndio anashughulikia project hiyo huko Nokia au?
 
kaka though evleak kwangu anatosha lakini nitakupa ushahidi wa uhakika.

kama unafuatilia Nokia hivi karibuni utajua kuwa kiwanda chao muhimu (cha simu za bei rahisi) kipo Vietnam. na Vietnam ndio wanakua wa kwanza kuuziwa simu za Nokia kwa bei rahisi.

tayari e-retailer wa Vietnam wameshaieka simu kwenye website yao, hili tu linafanya hichi kitu kiwe sure. Hata amazon huweka simu wiki 2 kabla na hawa jamaa hufanya hivyo hivyo. baada ya wiki hizo 2 simu itauzwa ( mwez wa 3). simu yenyewe itatangazwa MWC pale Barcelona.

kutokana na website Hii ya Vietnam itauzwa dola 110 Hii simu.

noknokx.png
 
Em acheni kua excited... Hii ni romored hakuna aliyeprove hilo.. site zote wanasema ni romored ila jamiiforums tu ndio nashangaa mtu anakuja na kusema ana uhakika na hilo. huo uhakika yeye ndio anashughulikia project hiyo huko Nokia au?

iko confirmed mkuu. itazinduliwa barcelona kwenye maonesho ya simu ambapo pia galaxy s5 itazinduliwa.
 
Back
Top Bottom