Nokia n97 inaingiza charge ila haijai.

Nokia n97 inaingiza charge ila haijai.

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,974
Reaction score
24,504
Habari jf
Naomba msaada kwa anayejua tatizo hili.Hiyo simu haijai naicharge siku nzima inanesha kuingia lakini haijai.Mwanzo nilijua tatizo betri nikanunua nyingine lakini tatizo liko palepale.Naomba mwenye uelewa na hili tatizo anisaidie.
 
Back
Top Bottom