Nokia lumia 920 vs Experia S

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,203
1,462
Jamani wataalamu wa maujanja hebu tumwagieni na sisi hapo ipo zaidi? Sonyericsson experia s na nokia lumia 920

Nawasilisha
 
Tuanze na Hapa...

29425961.jpg

93626062.jpg

65435836.jpg
 
mbona kuna vitu hapo juu vipo kwenye sony halafu kwenye nokia hamna kama vile redio FM
 
naona nokia wamefail kupunguza weight. Nafikiri ndio itakuwa device heavy kuliko other high end smartphones
 
naona nokia wamefail kupunguza weight. Nafikiri ndio itakuwa device heavy kuliko other high end smartphones

Mkuu hio simu ina vitu vipya vingi ambavyo havi exist simu nyengine thats why.

Na uzito wake still mdogo hata robo kilo haijafika
 
Back
Top Bottom