Nokia Kuvamia Android!!!

babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
4,616
Likes
1,591
Points
280
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
4,616 1,591 280
According to a report in The Verge,
the previously leaked, mysterious
Nokia Normandy is an Android
handset. Known internally under
several different codenames, the
device is said to be developed as an
equivalent to the low-cost Nokia
Asha range.
The Nokia Normandy allegedly runs
heavily modified Android version –
much like in the case of the Amazon
Kindle Fire range. The OS will allow
the handset to run popular Android
apps, thus addressing a major
shortcoming of the current Nokia
Asha lineup.
The Nokia Normandy development is
described as going at “full steam
ahead”. The handset is reportedly
planned for a release in 2014.
However, with Microsoft’s acquisition
of Nokia's devices & services units all
but completed, we are yet to find
out what the Redmond giant’s plans
for the Normandy are.
Source: GSMARENA
 
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
4,616
Likes
1,591
Points
280
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
4,616 1,591 280
jamani kwa mtaji huu tecno atabaki?
Wote wa wataalam simu za bei chee
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,440
Likes
9,356
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,440 9,356 280
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
6,636
Likes
7,487
Points
280
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
6,636 7,487 280
Mbona ina fanana kama lumia au sio official image hiyo...nimeicheki gsmarena
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,440
Likes
9,356
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,440 9,356 280
Mbona ina fanana kama lumia au sio official image hiyo...nimeicheki gsmarena
yani hii simu itakua rahisi kama nokia asha (chini ya dola 100) hivyo hawawezi kurisk kutafuta design mpya wamecopy and paste lumia 520.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,440
Likes
9,356
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,440 9,356 280
picha zimeleak simu nzuri kama kweli bei itakua kama nokia asha sioni mpinzani hata toka kwa makampuni ya kichina.

Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
14,955
Likes
5,967
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
14,955 5,967 280
Hatua nzr sana kuelekea ushandani hata sie wachuvu Dunia tuikamate vema.
 
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
4,616
Likes
1,591
Points
280
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
4,616 1,591 280
picha zimeleak simu nzuri kama kweli bei itakua kama nokia asha sioni mpinzani hata toka kwa makampuni ya kichina.

Mkuu akiiweka kwa laki 2+ itaua machipukizi.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,440
Likes
9,356
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,440 9,356 280
Mkuu akiiweka kwa laki 2+ itaua machipukizi.
rumors zinasema bei kama ya nokia asha. asha mpya hizi 50x kama 500, 501, 502 na 503 zinauzwa laki na nusu hivyo hii simu maybe itauzwa kama 180 hv though inaweza ikazidi.
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,736
Likes
781
Points
280
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,736 781 280
rumors zinasema bei kama ya nokia asha. asha mpya hizi 50x kama 500, 501, 502 na 503 zinauzwa laki na nusu hivyo hii simu maybe itauzwa kama 180 hv though inaweza ikazidi.
I guess itakua 4.5', dual core 1.2ghz mediatek, ram 1gb, 8mpx, internal ya 4gb with micro sd,...

Ila kashachelewa sana huyu Nokia. Kuleta Android za bei chee kwa sasa ame late kidogo. Kwa huku Africa Tecno anazidi kusababisha tu, bado Samsung clones siku hizi zinashika kinoma tena kwa bei chee na ziko full packed ova oroginal aisee.

Na wale wabaya wa Smartphones Jolla wameshaanza uza nje ya Asia basi soon zitaingia Africa, watafuatiwa na Xiaomi na wengineo.

Namshauri Nokia kwa huu muda uliobaki ange stick na Microsoft tuu ajitahidi atengeneze machine kali za affordable price. Android ina wenyewe, asijewaaga fans wake wa Nokia vibaya bure.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,440
Likes
9,356
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,440 9,356 280
I guess itakua 4.5', dual core 1.2ghz mediatek, ram 1gb, 8mpx, internal ya 4gb with micro sd,...

Ila kashachelewa sana huyu Nokia. Kuleta Android za bei chee kwa sasa ame late kidogo. Kwa huku Africa Tecno anazidi kusababisha tu, bado Samsung clones siku hizi zinashika kinoma tena kwa bei chee na ziko full packed ova oroginal aisee.

Na wale wabaya wa Smartphones Jolla wameshaanza uza nje ya Asia basi soon zitaingia Africa, watafuatiwa na Xiaomi na wengineo.

Namshauri Nokia kwa huu muda uliobaki ange stick na Microsoft tuu ajitahidi atengeneze machine kali za affordable price. Android ina wenyewe, asijewaaga fans wake wa Nokia vibaya bure.
kaka mi mawazo yangu yapo hv

1. nokia hatatumia mediatek sababu nokia anajali quality kwanza kisha quantity

2. ram itakua ndogo sana sababu hii ni simu ya asha maybe itakua 256 au 512mb

3.kuhusu kioo kitakua inch 4 chenye resolution ya 640x360 kama zilivyo simu za symbian belle ili hii simu iweze kurun app za java za simu hz ambazo zipo tayari.

4. hii simu haipamban na cheap androids itakua rahisi kuliko simu za rahisi. hao kina tecno na xiaomi wanapambana na lumia 520 ambayo ishauza unit zaidi ya milion 10 best seller kwenye simu zenye line 1 na ya pili kwenye simu za budget nyuma ya samsung s duos.
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,736
Likes
781
Points
280
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,736 781 280
kaka mi mawazo yangu yapo hv

1. nokia hatatumia mediatek sababu nokia anajali quality kwanza kisha quantity

2. ram itakua ndogo sana sababu hii ni simu ya asha maybe itakua 256 au 512mb

3.kuhusu kioo kitakua inch 4 chenye resolution ya 640x360 kama zilivyo simu za symbian belle ili hii simu iweze kurun app za java za simu hz ambazo zipo tayari.

4. hii simu haipamban na cheap androids itakua rahisi kuliko simu za rahisi. hao kina tecno na xiaomi wanapambana na lumia 520 ambayo ishauza unit zaidi ya milion 10 best seller kwenye simu zenye line 1 na ya pili kwenye simu za budget nyuma ya samsung s duos.
Hivi izo tuzo wana peana au? Mbona kuna simu/makampuni yanatengeneza simu kali sana kwa budget ndogo zaidi ya izo? Tena zina quality nzuri na raia wanazikubali. Au wanaangalia popularity?

Cheki makampuni kama Lenovo, Jolla, Dell, Xiaomi. Jolla, Motorola, Sony, Xolo (Eg: Q 500), ZTE, Pantech, etc wanatengeneza low cost smartphones ila sidhani ata kama top 5 wanawekwa.

Kwa RAM hiyo, lazima goma lita LAG tu maana Android sio kitoto kaka. Pia MediaTek nakumbuka uliwahi nifundisha wewe kwamba ni cheap, tofauti na zingine, sasa kuweka maybe snapdragon kwa simu ya budget ndogo mmh... Maana kwenye Lumia 520 aliweka Chipset ya Qualcom, GPU Andreno 305 ya Dual Core 1 Ghz akauza USD 150 av.

Pia hapo kwenye display kaka, atakua anarudi nyuma badala ya kustep foward. Hiyo resolution ndogo sana. Lazima ataweka above 480x800 ambayo ilikua katika 520.

[TABLE]
[TR]
[/TR]
[TR]

[/TR]
[TR]
[TD="class: nfo"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Nsame

Nsame

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Messages
470
Likes
40
Points
45
Nsame

Nsame

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2012
470 40 45
Safi sana walaji sasa wapata unafuu wa bei samsung,tecno wajipange
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,440
Likes
9,356
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,440 9,356 280
Hivi izo tuzo wana peana au? Mbona kuna simu/makampuni yanatengeneza simu kali sana kwa budget ndogo zaidi ya izo? Tena zina quality nzuri na raia wanazikubali. Au wanaangalia popularity?
kaka nilizungumzia mauzo sio tuzo. ila hata ukija kwa value still lumia 520 ilikua haina mpinzani kabla moto g haijatoka. lumia 520 inatumia krait kaka processor yake ni ya ukweli kuliko s3

Cheki makampuni kama Lenovo, Jolla, Dell, Xiaomi. Jolla, Motorola, Sony, Xolo (Eg: Q 500), ZTE, Pantech, etc wanatengeneza low cost smartphones ila sidhani ata kama top 5 wanawekwa.
ukitoa moto g haya makampuni yalikariri kuwa budget phone ni simu mbaya. moja ya simu ya nokia iliozoa tuzo nyingi ni lumia 620 na sababu zilikua hizi

1. ina nfc. near field communication ni technolojia inayopatikana simu za ghali tu ila nokia akaileta simu za bei chee. unatuma kitu bila kupair kwa kugusanisha simu tu. pia inafanya malipo

2.ina kioo kizuri 3.8 inch ila resolution ya 480x800

3. inakubali offline navigation dunia nzima bure (si iphone wala android yoyote yenye uwezo huu bure)

4. 8gb internal, memory card ya 64 gb (72gb) processor ya krait na ram 512mb hizi specs zake ni za ukweli

sasa angalia hizi specs je kati ya hao wachina nani anazitoa? wanatumia mediatek ambazo ni cortex a7 hazina nguvu hata games hazichezi vizuri zinafaa kuingilia fb tu labda.

Kwa RAM hiyo, lazima goma lita LAG tu maana Android sio kitoto kaka.
kaka hapa tunazungumzia nokia sio google. nokia anajua ku optimize hizi asha zinarun smooth kwenye ram ya 64mb na nokia ataimodify android atatoa dalvik lile sheli la java na pure linux itatumika. sijawahi kusikia linux ikilag ni tamaa ya google kutaka apps nyingi ndio akaeka shell lake la java.

Pia MediaTek nakumbuka uliwahi nifundisha wewe kwamba ni cheap, tofauti na zingine, sasa kuweka maybe snapdragon kwa simu ya budget ndogo mmh... Maana kwenye Lumia 520 aliweka Chipset ya Qualcom, GPU Andreno 305 ya Dual Core 1 Ghz akauza USD 150 av.
kaka mediatek ni cheap kununua na pia ni cheap kwenye perfomance mtu akiangalia video kwenye snapdragon na anaengalia video kwenye mediatek quality ni tofauti, japo haya ni mawazo yangu ila nokia hawezi tumia mediatek quality kwanza quantity baadae

Pia hapo kwenye display kaka, atakua anarudi nyuma badala ya kustep foward. Hiyo resolution ndogo sana. Lazima ataweka above 480x800 ambayo ilikua katika 520.
kaka simu ya bei rahisi uweke resolution above 480x800? na kama nilivyokupa reason 360x640 ilitumika kwenye symbian belle simu kama nokia 808 na n8 hivyo kuna bases ya maelfu kama si malaki ya games na apps sidhani kama nokia wataacha hii chance na kuignore hizo app na kwenda resolution tofauti.

ila ni mawazo tu kaka unaweza kuwa sahihi au naweza kuwa sahihi
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,736
Likes
781
Points
280
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,736 781 280
kaka nilizungumzia mauzo sio tuzo. ila hata ukija kwa value still lumia 520 ilikua haina mpinzani kabla moto g haijatoka. lumia 520 inatumia krait kaka processor yake ni ya ukweli kuliko s3

ukitoa moto g haya makampuni yalikariri kuwa budget phone ni simu mbaya. moja ya simu ya nokia iliozoa tuzo nyingi ni lumia 620 na sababu zilikua hizi

1. ina nfc. near field communication ni technolojia inayopatikana simu za ghali tu ila nokia akaileta simu za bei chee. unatuma kitu bila kupair kwa kugusanisha simu tu. pia inafanya malipo

2.ina kioo kizuri 3.8 inch ila resolution ya 480x800

3. inakubali offline navigation dunia nzima bure (si iphone wala android yoyote yenye uwezo huu bure)

4. 8gb internal, memory card ya 64 gb (72gb) processor ya krait na ram 512mb hizi specs zake ni za ukweli

sasa angalia hizi specs je kati ya hao wachina nani anazitoa? wanatumia mediatek ambazo ni cortex a7 hazina nguvu hata games hazichezi vizuri zinafaa kuingilia fb tu labda.

kaka hapa tunazungumzia nokia sio google. nokia anajua ku optimize hizi asha zinarun smooth kwenye ram ya 64mb na nokia ataimodify android atatoa dalvik lile sheli la java na pure linux itatumika. sijawahi kusikia linux ikilag ni tamaa ya google kutaka apps nyingi ndio akaeka shell lake la java.

kaka mediatek ni cheap kununua na pia ni cheap kwenye perfomance mtu akiangalia video kwenye snapdragon na anaengalia video kwenye mediatek quality ni tofauti, japo haya ni mawazo yangu ila nokia hawezi tumia mediatek quality kwanza quantity baadaekaka simu ya bei rahisi uweke resolution above 480x800? na kama nilivyokupa reason 360x640 ilitumika kwenye symbian belle simu kama nokia 808 na n8 hivyo kuna bases ya maelfu kama si malaki ya games na apps sidhani kama nokia wataacha hii chance na kuignore hizo app na kwenda resolution tofauti.

ila ni mawazo tu kaka unaweza kuwa sahihi au naweza kuwa sahihi
Yup kaka, I know ni mawazo but najua hayawezi kwenda mbali sana na ukweli... Much Thanks.. Maelezo mazuri nayarudia soma tena....
 
K

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
3,491
Likes
802
Points
280
K

Kimbori

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2012
3,491 802 280
Chif Mkwawa et al., Je yale makubaliano baina ya Nokia na Microsoft yamefutwa?
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,736
Likes
781
Points
280
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,736 781 280
Chif Mkwawa et al., Je yale makubaliano baina ya Nokia na Microsoft yamefutwa?
Hapana. Ndio kwaaanza kitu confirmed. Nadhani hadi mwaka 2014 Kabla ya Q1 haijaisha, basi Microsoft ashachukua mwali...
 
K

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
3,491
Likes
802
Points
280
K

Kimbori

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2012
3,491 802 280
Hapana. Ndio kwaaanza kitu confirmed. Nadhani hadi mwaka 2014 Kabla ya Q1 haijaisha, basi Microsoft ashachukua mwali...
Je itazaliwa kampuni mpya? Au, je Nokia itakayopotea kwenye ramani?
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,440
Likes
9,356
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,440 9,356 280
Je itazaliwa kampuni mpya? Au, je Nokia itakayopotea kwenye ramani?
kaka nokia ni kampuni kubwa itaendelea na shughuli zake za ramani, kuuza network pamoja na kufanya research mbali mbali
 
Forum statistics

Threads 1,252,149
Members 482,015
Posts 29,798,296