Nokia Kuvamia Android!!!

Nokia Kuvamia Android!!!

kaka nokia ni kampuni kubwa itaendelea na shughuli zake za ramani, kuuza network pamoja na kufanya research mbali mbali

Bora! Mimi ni mlevi wa hii kampuni. Naamini haya maboresho ya simu yatanichangamsha.
 
I hate kuona nokia nae anaingia kwenye ulimwegu wa android hata kama atamodify kiasi gani as long as yupo ndani ya android basi somehow kasaliti amri,wakati sie wengine tunapenda ushindani!!!
 
kuna tetesi tena kuwa hii ni meltemi os ya nokia aliyoicancel miaka miwili iliopita. ni meltemi yenye support android apps.

hata ikitoka still itakua simu moja tu. microsoft sidhani kama ataendeleza hii project. wacha fans wa nokia wanaopenda android nao wafurah
 
dah so bad for that ila life goes on,!!!! naona sasa utalazimika na wewe kutumia android based smartphone
 
Back
Top Bottom