Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,390
- Thread starter
-
- #41
hii ndio D1Cnokia wamefanya siri sana kwenye kuzindua hii mashine sasa kwanini wazindulie china?na sio ulaya na marekani...
pia HMD GLOBAL watatoa simu kama sita kwa mwaka huu ndio maana wengi wanasubiri waone innovation zao pale Barcelona Mwezi April
tusubiri flagship Nokia D1C labda graphene sensor itaanza
najua mpaka mwezi may au june nitaitafuta hii mashine nimeona watu wengi wameikubali mno kuanzia gsmarena na phonearenahii ndio D1C
mwc 2017 HMD watakuwepo tutaona simu nyengine za kimataifa pale
toka Tecno ianzishwe ushasikia wamezindua simu china?nokia walikuwa vizuri sana sijui walijichanganya vipi, sasa hivi hata kama wanarudi kwa kasi na hayo matoleo yao bado watakuwa nyuma ya kampuni kubwa kama samsung, Apple nk., kwa sasa watabaki kushindana na akina tecno, itel na infinix
icons ni za android nougat 7 au hujui kuwa kila varsion inakuja na icons tofauti kumbuka nokia ameingia na pure androidIcons mbaya
kweli haijafanya uzinduzi china sijui kwa nn nokia wakaamua kuzindulia simu yao hii chinatoka Tecno ianzishwe ushasikia wamezindua simu china?
apple na samsung bado wapo nyuma kwa nokia jitahidi kuuliza juu ya innovation za nokia ndipo utajua ulimwengu wa tech unaendajenokia walikuwa vizuri sana sijui walijichanganya vipi, sasa hivi hata kama wanarudi kwa kasi na hayo matoleo yao bado watakuwa nyuma ya kampuni kubwa kama samsung, Apple nk., kwa sasa watabaki kushindana na akina tecno, itel na infinix
ulitaka waweke MAh ya capacity gani? na kwanini? ipi tofauti, mfano:-3000mAh....?? Hapo ndo wamezingua
mkuu nokia hawezi kuwa mbele ya akina Samsung na apple na unaposema niulize sijui unamaanisha nikaulize wapi zaidi ya gsmarenaapple na samsung bado wapo nyuma kwa nokia jitahidi kuuliza juu ya innovation za nokia ndipo utajua ulimwengu wa tech unaendaje
ni gorilla glass ndio curve (2.5d) na sio display yenyewe.Hivi iyo screen ni curve?
Wangeenda up to 5000mAh...ulitaka waweke MAh ya capacity gani? na kwanini? ipi tofauti, mfano:-
2200 MAh
3000MAh
simu nyingi za mediatek ndio zina mabattery makubwa sababu soc zao hazikai na chaji, simu ya snapdragon ambayo ipo optimized vizuri inaweza kua na mah chache ikakaa sana na chaji.Wangeenda up to 5000mAh...
Kweli mkuu simu ikiwa nyepesi sio kabisasimu nyingi za mediatek ndio zina mabattery makubwa sababu soc zao hazikai na chaji, simu ya snapdragon ambayo ipo optimized vizuri inaweza kua na mah chache ikakaa sana na chaji.
mfano mzuri ni simu kama sony xperia z3 compact, ina mah 2600 tu lakini inazipita simu kibao zenye 4000 au 5000mah.
na simu inapokuwa na battery kubwa ndio jinsi inavyokuwa nene na nzito, kuna simu zina robo kilo kiasi kwamba unaona hadi uvivu kuibeba
Wanadai wameangalia soko kubwa la manunuz kwa sasa ni china inayokadiliqa kuwa na watumiaji 560m...so wanasema simu zao watakuwa nying watalenga kwanza hukonokia wamefanya siri sana kwenye kuzindua hii mashine sasa kwanini wazindulie china?na sio ulaya na marekani...
pia HMD GLOBAL watatoa simu kama sita kwa mwaka huu ndio maana wengi wanasubiri waone innovation zao pale Barcelona Mwezi April
tusubiri flagship Nokia D1C labda graphene sensor itaanza
kwanini ikiwa nyepesi inakuwa sio?Kweli mkuu simu ikiwa nyepesi sio kabisa