Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

Mi nasubiri simu from Northern Korea , hizi za warembo tumieni wanaume tunapasha
 
Nadhani ni Microsoft,Hawa Macrosoft wameniharibia mwaka,nimenunua Nokia Lumia 900 wameondoa wasapp na Instagramme,naiona kama simu ya toch tu.
Hizo simu walishazi discontinue toka 2012, zikawa hazina support. Pole
 
Good

Microsoft waliharibu san nokia adi nikaichukiaa
 
3000mAh....?? Hapo ndo wamezingua

Wanavokuwa wanatengeneza simu wanajarbu kubana space as possible niliona vid moja wakat wanafanya dizain ...kuna mambo mengi kwenye mother body yanatakiwa yawepo mfano sijui uweke ka finger print mashine ake mara sensor sijui za nn mara kama utataka iwe na stereo speaker mambo kibao space nayo unataka ndogo ndo unakuta inawalazimu baadh ya kampuni kwenye mid or high end wanaeka ka battery kadogo ....mfano ile iphne yenye battery mbil ndogo kama za tochi zilizoekwa mfumo wa L pale ni space ilikuwa limited mpaka wakaamua waweke tu mbil wangeweka moja nene pale haikai ingebid simu labda iwe nene zaidi

Afu kumbuka si kila mtu anajua mambo ya mah hizi mfano kina dada ..wamama hata baadh ya wanaume hawajui...

All in all simu hata iwe aje wafanye optimise vipi kama haijagonga 4000mah siitaki...above hapo nikilijaza uhakika pia litadumu zaidi maana itakuwa sio rahisi li oparate na chaji ndogo hadi kufikia kuzima

Namaanisha kama kwa day unahitaji 3000mah basi kuwa na simu inayoweza provide above hapo may be 4000mah ili kuepuka kufanya full cycle ya battery...ili baada ya matumizi yako unajikuta unabaki na hata 30% where ni kiwango kizuri hutoipa stress kama itafikia hatua inagonga 5%
 
Tumia Tecno pop 2 plus 5000mAH. 8mega pixel, 16GB,2gb ram, hios. Tecno ni poa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Vipi simu yenye qualcomm Snapdragon 425 ( 28nm ) yenye battery ya 4000mah

Na hzo 28nm ni nini inamaanishaga
 
Vipi simu yenye qualcomm Snapdragon 425 ( 28nm ) yenye battery ya 4000mah

Na hzo 28nm ni nini inamaanishaga
Ni manufacturing process ikiwa ndogo ndio jinsi inavyokuwa nzuri sasa hivi kuna 7nm na inayokuja ni 5nm.

28nm ni ya kizamani kidogo haikai sana na charge.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…