Hiyo M.2 ulinunua kiasi gani?M. 2 haikubali nilinunua ikabidi niiuze kwa bei ya hasara, nilipowasiliana na Xiaomi support wakaniambia hii pc inakubali PCIe ssd tu na nilipofungua ndani pale mahali pa expansion wameandika hivyo hivyo ni PCIe ssd
$68 kutoka gearbest.com nikaiuza Tshs 80,000/=Hiyo M.2 ulinunua kiasi gani?
Map here kwenye android inakubali??mimi nimepresent ninachojua wewe umepresent nini zaidi ya fikra zako?
mtu ananitengenezea kitu offline naweza kirun kwenye simu au pc hata miaka 40 bila kuwa online na mwengine anaforce kitu hicho kiwe online hata kama hakuna haja ya hicho kitu kuwa online unataka nisiwaamini wote?
natumia hapa here maps total offline ina kama miezi 6 haijui internet nina firewall na app zinazokamata packet hakuna kinachoingia na kutoka bila kukijua nikitaka, hizi sio scandal ni total fact hata wewe au mtu yoyote humu anaweza kudownload na kutest, kwanini nisimuamini mtu alietengeneza hiki kitu?
Ilikuwa na muonekano kama huu sio.$68 kutoka gearbest.com nikaiuza Tshs 80,000/=
yap inaitwa here we go, search neno here utaipata, ukishadownload hakikisha una bundle la kutosha halafu nenda download maps kadownload ramani ya Tanzania nzima kama mb 200 hivi.Map here kwenye android inakubali??
Urefu kama huo lakini meno tofauti, yenyewe ina vishimo viwili kwenye interface na ilikuwa inafit lakini
nyie ndo wale mnaohongwa vi tecno afu ndo mnakuja kutujambia hapaMap here kwenye android inakubali??
That's why i like chinese engineers, they cheap n' interestingIle iliyo leak specs zake ziko juu, maana inaingia kwenye ushindani na vitu vikali kama s8, iphone 8, htc11, mi 6 mix
Ila kwa laki5 hii itawafaa watumiaji wengi wa kawaida
naisubiri kwa hamuKampuni ya HMD global leo imezindua simu mpya ya Nokia 6 huko china.
Nokia 6 Specifications:
- 5.5-inch FullHD screen (2.5D glass, Gorilla Glass 3)
- 154 x 75.8 x 7.85 mm (camera bulge 8.4 mm)
- Qualcomm Snapdragon 430
- 4GB RAM
- 64GB internal + MicroSD
- 16MP back and 8MP front camera
- 3000mAh
- Dolby Atmos
- 6000-series aluminum unibody
- Android 7.0 Nougat
bei yake ni dola 245, around 540,000 za kitanzania. ila kwa sasa imezinduliwa china tu masoko mengine bado
Wewe mbona unalopoka kama huna akili kua mstaalabu hatupo kutukanana hapa usifikili mimi ,ke, punga kweli weenyie ndo wale mnaohongwa vi tecno afu ndo mnakuja kutujambia hapa
kuu inafanyaje hiyo nielekeze plz maana kujifunza mambo mengi ni kuzuri piayap inaitwa here we go, search neno here utaipata, ukishadownload hakikisha una bundle la kutosha halafu nenda download maps kadownload ramani ya Tanzania nzima kama mb 200 hivi.
pia ukitaka nchi nyengine download
ukimaliza click use offline itajifunga utatumia bila internet hata kama huna bundle itafanya kazi.
M
kuu inafanyaje hiyo nielekeze plz maana kujifunza mambo mengi ni kuzuri pia
Chief, huyu mtu ninaomba usimjibu.Chief akili yako imeganda kwenye skendo na historia.
Endelea kuishi hivyo kuliko kuwaambia Watanzania afu badae waje waskie kinachofanyika.
Mimi siiamin kampuni yeyote kwenye maswala ya data privacy.
Wewe unaeamini Nokia kumbe unaamini skendo, bado ni jambo la kusikitisha