Cherrylicious
Member
- Dec 1, 2010
- 37
- 2
Wadau nahitaji msaada wenu...simu yangu ya Nokia C 3-00 inakataa ku download nokia store. nikifungua Nokia ovi inasema kuna new version lakini ninapotaka ku update inakataa inaleta message ya internal error.
shida inaweza kuwa nn wadau?
shida inaweza kuwa nn wadau?