Nokia asha 501

Nokia asha 501

mgunda1990

Member
Joined
Jul 19, 2012
Posts
73
Reaction score
4
Salam,ndugu zanguni nimeulizia bei ya cm hii kwa midcom east,wameniambia ni 173000..naomben mnishaur kwa yoyote aliewah kutumia au anatumia vip inafaa?kama haifai naomba mnipe muongozo wakuu!Natanguliza shukrani!
 
kwanza tuanze na hio bei. hawa midcom wanachangia sana kuiua nokia inatakiwa wao ndo wauze rahisi ila wanauza bei ghali. hio simu inauzwa 150,000 na nafkiri sasa hv zimeshuka zaidi sababu asha 503 zimetoka.

asha 501 haina 3g na camera ni 3.2mp wakati asha 503 ina 3g na camera ya 5mp.

ila asha 501 inakaa sana na charge. standby ni siku 42( zaidi ya mwezi) na kama una matumizi makubwa inakaa hadi siku 5. matumizi makubwa ya net inakaa hadi siku 2.

kwa ujumla hizi simu za asha zimetengenezwa kwa wale watu wenye matumizi madogo kama kutumia whatsap, kupiga simu na kupokea pamoja na sms na kubrowse net.

pia kuna asha 500 sijui kama imefika hii itauzwa laki 1 ina 2mp.
 
thax chief,pia nimeona Lumia 520,cjui na yenyewe unasemaje?
 
chief-mkwawa umetoa maelezo manono sana. Kwa wanaotaka kununua simu za Nokia, either Asha au Lumia mpya dukani, unawashauri wanunue wapi?

PS: Kama utapata muda kidogo, naomba ufanye "kazi ya kanisa" kwa kutuwekea bei za Lumia na Asha za bei ndogo ila zenye kukidhi mahitaji ya kawaida (Browse internet na Apps za kawaida eg: opera, whatsapp, fb) kama smartphone nyingi. Ikiwezekana na mahala pa kununua.
 
Last edited by a moderator:

Kaka mimi huwa nachukua kwanza bei za nokia wenyewe wanazotoa halafu nakomaa na wale wauza jumla.

Mfano asha 501 wakati inatoka mwaka jana ilikua inauzwa dola 99 na nokia ila asha 503 imetoka kwa dolla hizo 99 hivyo 501 imeshuka. Hivyo bei ya asha hizi mpya ni kama laki 1 hadi laki na nusu.

Kuzipata nenda aggrey na msimbazi achana na maduka ambayo yapo barabarani wengi wanauza rejareja nenda maduka ambayo yapo kwa ndani kwenye coridor kule ndo wanauza kwa jumla na wale wa nje hununua humo humo ndani.

Kulijua duka la jumla la nokia linakua na rangi zq nokia halafu halipangwi simu nyingi nje unaweza kuta simu nne tu kwenye show yao hapo ndo unasema wanakutolea ndani.
 
Last edited by a moderator:
thax chief,pia nimeona Lumia 520,cjui na yenyewe unasemaje?

Kaka lumia 520 haina flash wala camera ya mbele ila ni simu nzuri. Kama hivyo vitu viwili havina shida kwako unaweza nunua na bei ni 250 kushuka.
 
Kabla ya kuamia android, nilikula sana maisha na Asha c311
.
Japokuwa nilikuwa na matumizi madogo madogo lakin speed yake ni balaa inatembeza 3.5g kwa kweli ni nouma kwa matumizi ya net....
.
 
Kaka mimi huwa nachukua kwanza bei za nokia wenyewe wanazotoa halafu nakomaa na wale wauza jumla.

Mfano asha 501 wakati inatoka mwaka jana ilikua inauzwa dola 99 na nokia ila asha 503 imetoka kwa dolla hizo 99 hivyo 501 imeshuka. Hivyo bei ya asha hizi mpya ni kama laki 1 hadi laki na nusu.

Kuzipata nenda aggrey na msimbazi achana na maduka ambayo yapo barabarani wengi wanauza rejareja nenda maduka ambayo yapo kwa ndani kwenye coridor kule ndo wanauza kwa jumla na wale wa nje hununua humo humo ndani.

Kulijua duka la jumla la nokia linakua na rangi zq nokia halafu halipangwi simu nyingi nje unaweza kuta simu nne tu kwenye show yao hapo ndo unasema wanakutolea ndani.

Thax kaka...
 
Kaka lumia 520 haina flash wala camera ya mbele ila ni simu nzuri. Kama hivyo vitu viwili havina shida kwako unaweza nunua na bei ni 250 kushuka.
Mkuu yenye camera ya mbele na flsh naweza pata ipi iwe Nokia hata kwa laki 2 na nusu!!nisaidie mkuu!
 
Hivi mkuu chief-mkwawa Hizi Nokia Asha 300 kwa Dar zinauzwaje? Je zina ubora mzuri (battery & touchscreen)
 
Last edited by a moderator:
Wadau labda niweke maujanja na ninavyofanyaga kupata hizi simu za NOKIA kabala ya wengine Bongo(hazija fika madukani)

Kuna hii website ya kenya Midcom MiDCOM Store wao huko kwao wanuza hizi simu online na wanamaduka na nimeona humo watu wanaweza kununu hata kwa MPESA na wanakuletea mzigo wako mpaka Nyumbani/Ofisini.

Pia wanabei za Jumla nilishawahi kuulizia n ajumla ni kuanzia Handset 10, kama sikosei wnatoa punguzo la kama 10% kwa bei ya rejareja.

Kwa kawaida hawa jamaa huwa wanauza simu mapema sana, yani NOKIA wakitoa tu mpya wao haichukui hata siku chache ni lazima itakuwa Kenya na mpaka ifike Bongo Experiance yangu inaonyesha ni Miezi 3.

Cha kusikitisha ni kuwa hata Bongo tunayo hi kampuni ya Midcom mara ya mwisho ofisi zao zilikuwa pale kwenye Mataa Oysterbay polisi sijuhi sikuhizi wamefia wapi, ila hakika kama wangafanya Biashara kama hawa wakenya maisha yangekuwa raisi sana.

Bei ya hiyo NOKIA 503 kwa kenya ni 15,500 Ksh. nadhani kwa bongo ni kama 200,000/=

CC: chief-mkwawa , Secret Service , mgunda1990
 
Last edited by a moderator:
Hivi mkuu chief-mkwawa Hizi Nokia Asha 300 kwa Dar zinauzwaje? Je zina ubora mzuri (battery & touchscreen)
Ambroce_Junior

nadhani hakua ASHA 300, lbda ulimanisha 300 series ila juzi nilikuwa na 309 nilikuta mtu inamsumbua kwani ipo slow sana na touch yake haifanyi kazi kabisa.
niloijaribu kiflash lakini wapi simu haijapona , na nimejaribu kucheki online nikakuta ni kilio cha wengi kwamba asha series hasa hiyo 309 zinasumbua sana touch zake.

So ushahuri ndugu nunua tu Asha 501, hizi simu ni nzuri mimi nilimnunulia mwangu home mwaka sasa anaitumia na ipo poa, inatumia Min sim card na ni double line.
 
Last edited by a moderator:
Ambroce_Junior

nadhani hakua ASHA 300, lbda ulimanisha 300 series.

Nokia Asha 300 hii hapa niliyokuwa naiulizia.

nokia-asha-300.jpg
 
Nisaidieni mimi yakwangu nimeshindwa kudownload whatApp kwenye Nokia Asha 501. Msaada p/se!
 
Nisaidieni mimi yakwangu nimeshindwa kudownload WhatsApp kwenye Nokia Asha 501. Msaada p/se!
 
Nisaidieni mimi yakwangu nimeshindwa kudownload WhatsApp kwenye Nokia Asha 501. Msaada p/se!

Cc: chief-mkwawa

Nnavojua, Nenda Ovi Store (Kama si katika Applications itafute itafute), hapo uta download Whatsapp
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom