ELIFURAHA MAKOMBE
Senior Member
- Dec 22, 2012
- 176
- 22
Habari za jioni ndugu na poleni na majukumu,mimi natumia Nokia Asha 311,tatzo nilikuwa natumia huduma ya whatsapp but chakushangaza jana imenizingua na kila nikiingia whatsapp inaonyesha neno upgrade means imekuwa expired na kila nikiupgrade inachukuwa muda mwisho inaonyesha service not available na huku mb za internate zipo zakutosha so mwenye utaalamu please naomba ushauru.
Be blessed.
Be blessed.