manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,748
Nani mwenye uzoefu na simu tajwa hapo juu na application zilizopo kwenye hiyo kwa mafano:
1.Iko faster namna gani kwenye ku-access Internet?
2.Application gani unaweza iongeza ama ipo ambayo ni interest?
3.Sifa gan kwa aliewai kuitumia hii simu anaweza kuotoa juu ya simu tajwa hapo juu?