nokia asha+100,000=samsung galaxy s3 mini

nokia asha+100,000=samsung galaxy s3 mini

kazy

Senior Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
126
Reaction score
50
wakuu naombeni masaada wenu kuna mtu anataka aniuzie gs3 mini mpaya mimi nimpe laki na nokia asha 302 vipi ni biashara reasonable au napigwa??
 
why anauza?
ipo poa?
ni orginal?


ukpata hayo majib chukua!
 
kama vile unaumizwa hapo, ila chunguza kwanza
 
possibly mchina

kwa jinsi nilivyoiangalia haraka haraka sio mchina coz ina run android os 4.1 na inaonekana iko fast though nimeshindwa kugundua specification zake kama zinafikia za orignal,nifanyeje nijue kama ni fake??
 
Bonyeza *#06#,check IMEI afu ingia website hii (Check IMEI - IMEI.info) kuna sehemu ya kuweka hzo imei afu kama ni fek watakutel
hii njia nimeikubali...yani nimeweka yangu nimeletewa mpaka picha..jina..siku iliyotengenezwa.....mkuu kazy jaribu hii njia asee!!!
 
Last edited by a moderator:
kwa jinsi nilivyoiangalia haraka haraka sio mchina coz ina run android os 4.1 na inaonekana iko fast though nimeshindwa kugundua specification zake kama zinafikia za orignal,nifanyeje nijue kama ni fake??

hio sio njia ya kugundua mchina, ipo michina kibao ya 4.2 hii post yenyenyewe naiandika na simu ya processor 850mhz(haijafika hata 1ghz) lakini inatumia 4.1 skuhz jellybean sio ishu.

nenda setting then about kasome baseband version ukiona imeanziwa na maui tu ujue kitu mchina
 
kwa jinsi nilivyoiangalia haraka haraka sio mchina coz ina run android os 4.1 na inaonekana iko fast though nimeshindwa kugundua specification zake kama zinafikia za orignal,nifanyeje nijue kama ni fake??

ku run androids so kigezo kua sio michina......... kuna Coppy Nying Za Androids Hasa samsung
 
Back
Top Bottom