Nokia android smartphone ujio wake bado kizungumkuti

Chief, kati ya uhawei P9 lite na J72016 ipi nzuri kwa matumizi mazito. Kwa heavy user.
A7 2017 now inapatikana kwa ngapi dukani?.
 
yap hio pia nimeona, angalau hata waweke 7880 kama A7 2017, maana battery life ya hii A7 ni balaa,
Chief,vp kuhusu galaxy C7 pro yenye snapdragon 626 Bongo ishafika,nimeitafuta xna bila mafanikio sasa sijui nayo ni overprice.
 
Watu na pesa zenu,yaani mnajadili simu za luxury za bei ya 850,000+ da hatari sana kweli fedha ni sabuni ya roho
 
Chief,vp kuhusu galaxy C7 pro yenye snapdragon 626 Bongo ishafika,nimeitafuta xna bila mafanikio sasa sijui nayo ni overprice.
sijaiona pro ila c7 za kawaida zenye sd625 zipo mitaani around 800,000,

ndio zipo overpriced A series na C series zote za samsung, ila zinatumia pia premium material, look na feel yake ni kama flagship.
 
tofauti ya
sijaiona pro ila c7 za kawaida zenye sd625 zipo mitaani around 800,000,

ndio zipo overpriced A series na C series zote za samsung, ila zinatumia pia premium material, look na feel yake ni kama flagship.
A series, C series, J series na note ni nini, na zipi ni nzuri zaidi kwa hizi samsung. na ukisema flagship una maana gani
 
tofauti ya

A series, C series, J series na note ni nini, na zipi ni nzuri zaidi kwa hizi samsung. na ukisema flagship una maana gani

C- series zinakuwa na specs kubwa zaidi hasa Ram na storage ila haitofautiani sawa na A series
A- series haitofautiani sana na C inakuwa na design nzuri na ina muonekano wake unavutia ila specs zake za kawaida
J- series zenyewe zimetengenezwa kuvutia watu wasio na hela kubwa ya kununulia simu zinauzwa bei rahisi zaidi, specs zake na muonekano sio mzuri kama hao hapo juu.
Note- series ni habari nyengine yenyewe ni flagship All around ni simu nzuri kuliko J, C na A.

sema inabidi uwe makini kuna vitu viwili muhimu vya kuangalia,

1. mwaka simu iliotoka
ni vyema ku consider hiki kitu, sababu Note series ni nzuri haimaanishi note ya mwaka 2013 itakuwa nzuri kuliko C au A ya 2017. inabidi uangalie ni latest kiasi gani.

2. zina michanganuo ya model,

kuna A3, A5, A7 etc, kuna C5, C7, C9 etc J3, J5, J7 etc

Hapa tunajua C au A ni nzuri kuliko J lakini si mara zote mfano J kubwa kama J7 inaweza kuwa nzuri kuliko A ndogo kama A3.
 
Nokia is no longer connecting people.
Hahahahahahaaahhhh!!!!!
 
Nokia 6 mashine tata sana ile, Samsung tupa kule
 
Nokia is no longer connecting people.
Hahahahahahaaahhhh!!!!!
Nokia mpya ya 3310 imetoka mda si mrefu ila tayari ni best selling feature phone soko la magharibi,

pia hawajatangaza figure ya mauzo ya smartphone ila wamesema wameuza millions, ambayo unaweza ukairafsiri kama 2m+, ukiangalia factor kwamba ni simu chache tu zipo sokoni tena kwa uhaba mkubwa that is impressive.

Tatizo kwao sio soko bali ni uwezo tu wa kuzalisha sababu HMD ni kampuni ndogo bado.

Na still Nokia anaconect watu sababu yeye ni second badala ya Ericson kwenye infrastructure za Network na Tanzania mitandao kibao ikiweno yenye speed Zaidi yaani Voda na TTCL wanatumia technology ya Nokia.

Hata duniani kila mtandao wenye speed ikiwemo ile mitatu ya korea inayosumbua duniani wanatumia Technology Ya Nokia,

Hata your Beloved Apple ananunua Infrastructure za Network Nokia, Kaacha technology za Kwao Usa anataka Za Finland.

http://iphone.appleinsider.com/arti...s-datacenters-after-patent-dispute-settlement

So still Nokia ana connect mabilioni ya watu duniani,

Na soon Ikitoka 5G atakuwa anaconnect maroboti.
 
Haya bwana nashukuru kwa ufafanuzi huu kwa sababu hua nikigusa tu Nokia lazima unambie alivyofanya kwenye Networks.
Natengua kauli.
Nokia connecting people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…