Wakuu sorry, hivi nakoseaga kusoma ni 4.1mpx au serious 41? Nadhani hii ndio simu yenye camera yenye mpx kubwa kuliko zote ulimwenguni! Mpx 41 mmh.. smartphone nyingi zikijitahidi saaaana zina 8mpx.
Au ukubwa wa pixels hauna huusiano wowte na ubora wa picha taken?