Noamba msaada jinsi ya ku-root Huawei y300

Smartbrain

Senior Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
184
Reaction score
35
Habari zenu wakuu,

Kunanjia nyingi za kuroot huawei y300. Naomba msaada kwa mtu aliewai kuroot huawei y300 na ikakubalii alitumia njia ipi?

Shukrani
 
Habari zenu wakuu.Kunanjia nying za kuroot huawei y300.Naomba msaada kwa mtu aliewai kuroot huawei y300 na ikakubari alitumia njia ipi? Shkran..
  • Nimeshafanyia rooting y300 kwa zaidi ya simu tatu
  • Kwa kuFuata maelekezo ya kwenye hizi link:

  • Hakikisha umedownload faili zote zinazotakiwa kwanza
  • Soma japo mara mbili kwa umakini ndipo uanze zoezi la Rooting
Maelekezo kwenye hizo link yapo wazi na yanaeleweka, Feedback ukifanikiwa
Karibu.
 
√ Rooting haitoifanya simu yako itumie laini zote

√ Na ili ufanikiwe kuifanyia rooting kwanza ifanyie unlocking

√ Ili kufanya unlocking, ili simu yako itumie laini zote anzia kwenye hii thread >>> https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=515251

√ Baada ya hapo ndio ufanye utaratibu wa rooting

Dah mi mshamba kweli. Hivi rooting ndio kufanya nini?
 
jaman m natak ni upgrade android virsion yngu from 2:3:6....msaada jman na natumia huawei u8650
 
Na hZi simu za Vodacom smart kicks tunafanyaje kuifanya itumie line zote?
 
njunwa wamavoko Mwl.RCT khalfan56 chief-mkwawa na wengineo, nna maswali machache hapa kuna kitu nnataka kukifanya ila nataka kwanza nipate mwanga

bootloader ina control kernel na recovery, sawa?
kernel ina control rom
300px-Bootloader_simplified.png

bootloader tuki unlock means tunaweza kuifanya chochote rom, ikiwemo kuroot, kuweka custom recovery na vinginevyo...right?

swali langu, ni sehemu gani ya software ya simu ambayo inakuwa network locked (eg kwenye modem za huawei uwa tunaflash na stock firmware inakuwa unlocked) ?

kama hamjanielewa, nauliza ni kipi ambacho uwa kinakuwa network(carier) locked kati ya bootloader, recovery, kernel au rom kuzuia kubadili mtandao

je, kuweka stock rom(generic/unbranded) kwenye simu itasaidia ku unlock mtandao?
 
Last edited by a moderator:

haitasaidia ku unlock kuna siunajua ukiweka custom rom code zinakuwa hazisomi zile ambazo zinafanya kazi kwene stock rom ni hiv kuhusu network lock inakustored kwenye RADIO NVRAM na flash does not interfere with nvram
 
hii nvram iko located sehemu gani ya software?
 
  • Nimeshafanyia rooting y300 kwa zaidi ya simu tatu
  • Kwa kuFuata maelekezo ya kwenye hizi link:

  • Hakikisha umedownload faili zote zinazotakiwa kwanza
  • Soma japo mara mbili kwa umakini ndipo uanze zoezi la Rooting
Maelekezo kwenye hizo link yapo wazi na yanaeleweka, Feedback ukifanikiwa
Karibu.
Vipi jinsi ya Ku root huawei y210-0200
 
Hv kuroot ndo nn??

Kuichakachua cm ya android ili uweze kuwa na uwezo wa kuona, kustop, kuedit na kufuta system files na applications, kwa cm za iphone nadhan wanatumia neno "jailbreaking"
 
Back
Top Bottom