Noah Voxy zina uimara kiasi gani?

Noah Voxy zina uimara kiasi gani?

Boutafrica

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
1,258
Reaction score
2,737
Vp salama wakuu.

Kuna mtu flan anataka kuniuzia Voxy 2006 kwa 7mil,

Me siyo mtaalam sana wa magari,so naomba wenye uelewa wanipe elimu kidogo kuhusu Voxy.
Matumizi yangu ni kubeba abiria na njia ni rough road na mahali pengine ni lami.

Sasa naomba kufahamu uimara wa hii gari na changamoto zake.
 
Huko aliko,anaziona zikifanya biashara hiyo?

NB: Gari la biashara likiwa la mkononi unawapa faida utakao wakabidhi wawe wanakueleza matatizo tu badala ya kuleta hela mezani au atasimama yeye usukanini/mlangoni?
 
Bora ukomae utafute probox.

Ila kama kuna ulazima wa kununua noah basi chukua sr40.

Hayo ma vox na rough road ni kama mtoto wa kishua kuishi uswahilini.
Yaani kilichonivutia chombo ni mpya kabisa na bei naiona kitonga sana, jamaa anauza anasema anataka aongezee hela achukue crown.
 
Hiyo gari kama bado nzima kainunue haraka sana.
voxy ni gari imara, reliable, comfortable, spear zipo bwerere na bei rahisi.
Mimi namiliki voxy namba D na haijanisumbua licha ya kuipigisha kazi Kila siku.
 
Vp salama wakuu.

Kuna mtu flan anataka kuniuzia Voxy 2006 kwa 7mil,

Me siyo mtaalam sana wa magari,so naomba wenye uelewa wanipe elimu kidogo kuhusu Voxy.
Matumizi yangu ni kubeba abiria na njia ni rough road na mahali pengine ni lami.

Sasa naomba kufahamu uimara wa hii gari na changamoto zake.
Kimbia kama umekutana na shetani.. Hakuna gari hapo
 
Hiyo gari kama bado nzima kainunue haraka sana.
voxy ni gari imara, reliable, comfortable, spear zipo bwerere na bei rahisi.
Mimi namiliki voxy namba D na haijanisumbua licha ya kuipigisha kazi Kila siku.
Lkini yeye kasema anataka afanyie biashara ya kubebea abiri tena njia ya vumbi na lami kidogo, je wewe kwa upande wako unabebea abiria kwa nia ya vumbi? msaidie hapo kwanza.
 
Vox ukibeba watu saba tu nyuma ishadidimia yootee achana na voxy tafuta supercustom
 
Back
Top Bottom