Habari za jioni?
Ninahitaji kununua Noah yenye hali nzuri kwa muonekano na kiufundi pia,iwe na namba ya usajiri C au D.
Offer yangu ni 8.5-9milioni.Nipo Arusha.Itapendeza pia anayeuza aweze kuileta gari Arusha mjini,endapo yupo nje ya Arusha.
Mwenye nayo anitumie PM au atume picha zake kwenda
mbuyi83@yahoo.com