WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
NN na wengine mmenikumbusha Vision 2025!
Unajua Hii Dira imetambua tatizo la watanzania na kutokuwa na utamaduni wa kuweka akiba kama tatizo lenye kuhitaji kupatiwa dawa!
Nadhani inahitaji mijadala kama hii iwe kwa watu wengi zaidi.