kevin cuzo
Senior Member
- Nov 9, 2017
- 105
- 107
Sawa babaJipe muda dogo,mambo hayo yanahitaji ushiriki wa muumba pia.anyway pole sana.
Sawa babaJipe muda dogo,mambo hayo yanahitaji ushiriki wa muumba pia.anyway pole sana.
mimi nilifikiri ana maanisha "no war man no cry?" kumbe ni woman?Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana hii terminology, hivi ni kweli bila wanawake tungekuwa kweli hatutoi machozi.[emoji24] [emoji24] [emoji24]
pamojaBarikiwa na asante