me ikiniandikia hivyo huwa na select ''continue anyway'' na inakubal kuinstall.
hamna jinsi ya kuzirudisha?
Habari ndugu zangu wana Jf,naomba msaada wenu simu yangu Nokia X2-01 nikiingia ovi store nikadownload kitu inaandika "no valid certificate" na pia ovi browser inaandika hivyo lakini mwanzo simu ilikua poa
Asante
Hebu kabla huja deal na mambo makubwa kwanza rekebisha date and time kwenye hiyo simu. Halafu izime na uiwashe tena, hapo itafanya kazi as it should.
Certificates error huwa inakuja kama date and time iko nyuma au mbele zaidi