Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,785
- 109,958
Nishawahi kulia hadi kamasi kisa nazinga mara 4 watu wanaokoana tuu na mimi nataka kujificha...!😆😆😆.
Eeeshh!
That was discourteous for real...😥
Nishawahi kulia hadi kamasi kisa nazinga mara 4 watu wanaokoana tuu na mimi nataka kujificha...!😆😆😆.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbali nimekumbuka nilikuwa naenda hom nalala wanantafuta badae ndo nakuja watu hoi [emoji1787]Nishawahi kulia hadi kamasi kisa nazinga mara 4 watu wanaokoana tuu na mimi nataka kujificha...![emoji38][emoji38][emoji38].
tunasubiria mkuu wazee wa ganda la ndizi..😛Ngoja nilete direct link sitaki mteseke
kinachokuja kichwani kwako au kwangu mzee baba
shukraniNo Time to Die (2021) (NetNaija.com).mp4 (376.95MB) Free Download - Sabishare
Sabishare is a file hosting and sharing service that provides fast and easy file downloads with no waiting timewww.sabishare.com
yep kuburudika sio dhambi mkuuMzee wa suti kali
Wengine mambo ya movie ndiyo kazi zao.Huna kaz eeh
ehe sina niajiri boss[
Wengine mambo ya movie ndiyo kazi zao.
Afu jamaa lilishajitangaza bwabwa lile..na kuna mahali nilishaona kashikwa kiuno na msela nadhani kwenye red carpetMwanaume mwenzako unamuandikia “this awesome dude” kuna shida mahali sio bure
Angalia unamotembeaehe sina niajiri boss