No this not true but maybe.?!

No this not true but maybe.?!

Sijakuelewa.
Kiingereza chako kigumu sana.
Inaonekana umekaa sana nje.
OTIS.
 
Kwani kaka ni kweli hujanielewa au?
Ok ucjali naulize hivi je?
Kusamehe ni kusahau?
 
Kwani kaka ni kweli hujanielewa au?
Ok ucjali naulize hivi je?
Kusamehe ni kusahau?

hapana!
unaweza kuwa umesahau lakini ukikumbushwa tu hasira zinarudi pale pale meaning hukuwa umesamehe
 
Kwani kaka ni kweli hujanielewa au?
Ok ucjali naulize hivi je?
Kusamehe ni kusahau?

Mkuu imma.one.
Kiingereza chako kama nilivyosema ni kigumu sana
Nikirudi kwenye swali,mie naweza samehe ila kusahau siwezi.
OTIS
 
kwa baadhi ya watu inawezekana! Kusamehe na kusahau! Lakini inakuwa vigumu sana hasa pale makosa ya aina moja. yanapojirudia.
 
Back
Top Bottom