anajua sana kuandika ilani nilikua sifahamu aisekasinde, huyo mzee amekuwa kasisi, yupo kanisani kwetu hapa, Bunda tatzo sadaka hapa ni 5000 kwa wiki na yeye ana mkopo wa 800,000,000 alio kopa kwa ajili ya kugombea uraisi walahi imekula vibaya, naiona kisukari, preshaaaa, vile........... eheee Mungu mwepushe mzee wakuandika ilani, sasa anatunga sala mpya kanisani
Kafungua duka la kuuza TV braza au? Maana naona kuna ma TV Kibao nyuma yake
Kuandika sio tatizo, tatizo ni je zinaendana na uchumi wa nchi yetu? Milion 50 kila kijiji ona sasa, hata za maafa zinatushindaanajua sana kuandika ilani nilikua sifahamu aise