No reforms no Election Vs Oktoba Tunatiki✔️

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
38,855
Reaction score
90,318
Habari za jumapili;

Kuna mgongano wa makundi mawili;

Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi?

Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa kuchagua upande.
Mtu huchagua upande aliopo kutokana na Uelewa wake, mtazamo wake, Maslahi yake.

Wapo wenye maslahi katoka HAKI na wapo wenye Maslahi katika dhulma.

Ingawaje Haki haimzuii mtu kuchagua dhulma ingawaje MTU akiamua kuchagua dhulma kwa haki yake anatakiwa pia asikatae mavuno ya dhulma yake.

Haya twende Kazi
 
No reofrm no election
 
No reform No election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…