..haileti impact yoyote, yaani CCM wamefurahi sana, ila CHADEMA itajiongeza kwenye maktaba ya NCCR na CUFAminini, hii bet ya Chadema italeta tofauti kwenye chaguzi za Tanzania, sijui ni kwa namna gani na muda gani. Lakini sasa Chadema wanakabiliwa na hali mbili tu, wafe au kuwe na mageuzi.. ngoja tuendelee kuangalia politics ziko at its core..
Ngoja tuone, chama cha siasa hakiendi kwenye maktaba kwa sababu hakikupigiwa kura, la! Ila kwa sababu wananchi wameacha kukisupport!..haileti impact yoyote, yaani CCM wamefurahi sana, ila CHADEMA itajiongeza kwenye maktaba ya NCCR na CUF
Kigeu geu huyo anatafuta attentionSo unashauri nini? chadema ishiriki hata kama itashindwa majimbo yote?. Maana nakumbuka ulitusema sana humu 2024 kwamba tunashiriki vipi uchaguzi ambao tunajua tutashindwa.
WaTanzania hata sijui mnataka nini
don't be such a pessimistic. mazingira na hali ya kipindi cha ukawa na ya No Reforms, no election ni tofauti kabisa.If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.
Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.
Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.
Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?
Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.
Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?
Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.
Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.
Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.
Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.
Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.
Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.
NRNE ni movement mfu!
Nguvu ya mfumo ni kubwa mno maana mfumo waweza kufanya kitu chaitwa "double knock effect", yaani wapiga kotekote na kuleta impact.If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.
Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.
Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.
Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?
Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.
Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?
Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.
Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.
Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.
Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.
Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.
Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.
NRNE ni movement mfu!
Wake me up when it succeeds.don't be such a pessimistic. mazingira na hali ya kipindi cha ukawa na ya No Reforms, no election ni tofauti kabisa.
"We shall laugh again". By Art Buchwald.If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.
Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.
Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.
Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?
Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.
Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?
Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.
Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.
Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.
Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.
Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.
Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.
NRNE ni movement mfu!
..endeleni na NrNe mpaka 2030Ngoja tuone, chama cha siasa hakiendi kwenye maktaba kwa sababu hakikupigiwa kura, la! Ila kwa sababu wananchi wameacha kukisupport!
Huo ndiyo ukweli mchungu ambao CHADEMA hawawezi kuukubali. Hata Mshana Jr naye hawezi kukubali.If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.
Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.
Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.
Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?
Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.
Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?
Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.
Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.
Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.
Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.
Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.
Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.
NRNE ni movement mfu!
Na ndio maana mnaufyata
Nchi ni yetu sote!! Na wengi wanatamani Tanzania yenye mabadiliko makubwa.Nimesema inakoelekea ni kulekule ilipoishia UKAWA.
What part of that is hard to understand?
Akili zenu huwa zimejaa UZUZU tu.If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.
Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.
Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.
Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?
Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.
Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?
Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.
Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.
Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.
Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.
Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.
Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.
NRNE ni movement mfu!
No Reform No Reform.If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.
Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.
Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.
Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?
Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.
Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?
Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.
Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.
Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.
Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.
Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.
Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.
NRNE ni movement mfu!
Hii itakufa kifo cha mende jan haifiki, kuna cuf ilikuwa tishio kuliko chadema walikuja na kitu ngunguli ila walipozwa wakatulia ka maji.If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.
Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.
Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.
Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?
Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.
Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?
Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.
Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.
Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.
Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.
Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.
Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.
NRNE ni movement mfu!
No Reform No Election.NRNE ni imbecilic fracas ya social media, ukiwauliza, kwa njia gani chama kimoja kutazuia vyama 18 visishiriki uchaguzi, wanajibu "we utaona tu siku ikifika"
No Reform No Election.Hii itakufa kifo cha mende jan haifiki, kuna cuf ilikuwa tishio kuliko chadema walikuja na kitu ngunguli ila walipozwa wakatulia ka maji.
Chafema imebebwa na ccm vizuri sana kaatika uongozi wa mbowe, kqja huyu mshamba kaharibu kila kitu. Alivyoingia tu nliandika hapa hapa kwa account yangu ingine nikasema huu ndowanzo wa mwisho wa chadema. Cdm inakufa natural death, kuna wasomi wa siasa ccm na wazoefu