No Reform No Election ni sawa ila je tumeboresha taarifa zetu katika daftari la wapiga kura?

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
477
Reaction score
1,017
No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika daftari la kidumu la wapiga kura na pia inatakiwa uwe umehakiki taarifa zako.

Ni kweli tunatakata mabadiliko ya kiuongozi ila je Leo tukiambiwa tukapige kura kwa utaratibu utakaokuwa umeboreshwa Ili kupata viongozi tunaowataka je tupo tayari? Watanzania ni kama mill 29 hadi 30 ndo wamejiandikisha katika daftari, walioboresha taarifa zao ikiwa na maana kuwa hao ndo wenye sifa za kupiga kura sidhani hata kama wanafika mill 25 hadi sasa, je vijana mnaotaka mabadiliko mmetekeleza wajibu wenu? Isijekuwa mbwembwe ni nyingi ila wajibu hamtekelezi. Zaidi chadema mnatakiwa kuhakikisha vijana wamehamasika, wamejiandikisha na Wana uwezo ku drive haya mabadiliko. Hakuna haki bila wajibu.
 
Mikoa mingi zoezi limeshafanyika na watu wameboresha taarifa zao kabla ya hiyo No reforms no Election, au unashani wapiga kura wapo hapa Dar pekeake?
 
Nimetafakari tu maana zoezi lilifanyika illa sina Imani Kama vijana wengi wameboresha, vijana wa sasa mambo ya kura huwa wanaona kama upuuzi Fulani na hawajihusishi kabisa ila ikija agenda ya mabadiliko basi ni WA kwanza kuishabikia..ukimwambia kapige kura unakuta vigezo hana
 
Daftari chafu Hilo,batili,

Tunataka daftari jipya baada ya reforms kupata tume huru na katiba mpya.
 
No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika daftari la kidumu la wapiga kura na pia inatakiwa uwe umehakiki taarifa zako.

Ni kweli tunatakata mabadiliko ya kiuongozi ila je Leo tukiambiwa tukapige kura kwa utaratibu utakaokuwa umeboreshwa Ili kupata viongozi tunaowataka je tupo tayari? Watanzania ni kama mill 29 hadi 30 ndo wamejiandikisha katika daftari, walioboresha taarifa zao ikiwa na maana kuwa hao ndo wenye sifa za kupiga kura sidhani hata kama wanafika mill 25 hadi sasa, je vijana mnaotaka mabadiliko mmetekeleza wajibu wenu? Isijekuwa mbwembwe ni nyingi ila wajibu hamtekelezi. Zaidi chadema mnatakiwa kuhakikisha vijana wamehamasika, wamejiandikisha na Wana uwezo ku drive haya mabadiliko. Hakuna haki bila wajibu.
CCM hasa wanawake utakuta wanahamasishana kwenda kujiandikisha kupiga kura.
Kama hujasajiliwa kupiga kura hutaweza kupiga kura.Its as simple as that.
 
Back
Top Bottom