upo nje ya mada.soma vizuri comment zangu utaelewa ninachomaanisha.poleWewe bure kabisa sijapata kuona maishani,unamaanisha awe na kinga kwa vile ali campaign ili mpate cha kusema kwa vile alishiriki kuhamasisha?sikia wewe mgalatia kama mmeishiwa sera mnazitafuta za kipuuzi usije kuanzisha uzi wa ajabu,hata awe babake ni mkuu wa kaya awajibishwe,na pia tuwe makini na chuki maaana tunaweza kutajwa watu wasio na hatia kwa mambo ya ugonvi wa mapenzi!
?
Kiongozi; chama dola kina kila aina ya uwezo including masuala ya kiusalama na kiupelelezi. Hoja ya msingi hapa sio "aachwe kwa kuwa aliikampenia ccm" bali hoja ni "ni kwanini ccm ilikampeniwa na watu waina hiyo?". Huwezi kunishawishi eti "chama hakikufahamu" au kwamba "waliuanza mchezo huo baada ya uchaguzi".Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? ...
Umenikumbusha mh EL wakati wa kampeni jijijni mbeya eti akifika tu ikulu first thing anamtoa jela yule mharibu wa toto!![emoji16][emoji16][emoji16].Nishida kweli kila kitu kupinga!! sielewi dhana ya upinzani hapa au ni kuongea sanaaa mambo ya msingi lazima tuwe kitu kimoja tumelia kwa muda mrefu kuhusu madawa ya kulevya na athari zake ngoja wafike mwisho ili tubaini ukweli mayowe haya yatafifisha jitihada njema za kupambana na janga hili.
Nakubaliana na wewe sana tu! Hoja ni "ilikuwaje chama kika kampeniwa na watu/genge la aina hiyo"? Hakikujua? Au huo mchezo waliuanza baada ya uchaguzi? Which is which?KAMA anauza sembe haijalishi yupo chama gani nadhani,,muhalifu anabaki kuwa muhalifu
Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee nimecheka ile mbayaaaaaaaa nakushukuru sana mkuu umejibu kama Lipumba alivyomjibu Hamadi KWAMBA mchezo wa siasa hautaki hasira na kweli naona Hamadi anajikomba tena kwa Lipumba eti yuko tayari kwa mazungumzo ila wewe ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......
.....vumilia hiki kiputa hakitaki hasira
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Shikamoo J.H. Chase ....No orchids for miss ElliotPamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
Halafu walimkopaCcm kama hawamjui tena na alijitolea hal na mal katika kampen hahah
Hivi inamaana amekamatwa na madawa au anatuhumiwa kwa sababu mmetoa macho ya ukomoajiKwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
Ooh nimechanganya thanxno orchid for ms Blandish
elimu lazima itusaidie mshana jr
Mimi nimepiga 80 pamoja na ubaguzi wake kwa weusi aliniteka nikashindwa kabisa kusoma novel nyinginenilisoma karibia sabini vitabu vya huyu ndugu enzi za Mwalimu.ni mwandishi pekee ambaye aliweza kukonga moyo wangu.nikikianza leo kinaisha siku hiyohiyo.simply he is the best of all time.
mini tatizo ulikuwa upatikanaji.ningeweza kufuta zote.mimi nilikuwa nasoma na author wengine kama HALORD ROBINSON,Robert ludrum,Perry mason,SIDNEY SHELDON etcMimi nimepiga 80 pamoja na ubaguzi wake kwa weusi aliniteka nikashindwa kabisa kusoma novel nyingine
Sidney Sheldon na Nick Cartermini tatizo ulikuwa upatikanaji.ningeweza kufuta zote.mimi nilikuwa nasoma na author wengine kama HALORD ROBINSON,Robert ludrum,Perry mason,SIDNEY SHELDON etc
To some folksThe law is aggressive!
But very selectiveThe law is aggressive!