No orchid for Ms. Wema Sepetu

Kuitwa polisi ni njia moja ya mahojiano tusubiri tuone mwisho wake.. napingana na wewe huwezi kuuza ngada eti kwa sababu wewe ni kada wa chama chetu... ngada isipokuharibu wewe itamdhuru nduguyo au mtanzania mwingine
 
Pale hamna kesi,wao walitakiwa kuwawekea mtego na kuwakamata na ushahidi,sasa unamwambia mtu aje polisi,si hata kama kweli anauza madawa,utakuwa umempa mda wa kufanya sanitation,
na hakuna mahakama inafunga mtu kwa hearsay
 
wacha unafiki wewe. sasa hapo ndio umeandika nini.
 
Watz kwa politiki hatujambo.ulichoandika hakihusiani na siasa mkuu au ndiyo sababu hata Mr chairman wako asipolipa kodi unajionea ni sawa tu.Hivi una hata rafiki ambaye ameteswa na madawa? Ungemhurumia labda.
 

Umenikumbusha kitabu cha James Hadley Chase "No Orchid for Ms Blandish"
 
You just throw fists here and there finally you hit nothing. It's evident now that, mabadiliko would stand shoulder to shoulder with the corrupt and all criminals. It is not a surprise because you plus your heckling gangs have neither priority nor vision. What a disgrace.
 
Nishida kweli kila kitu kupinga!! sielewi dhana ya upinzani hapa au ni kuongea sanaaa mambo ya msingi lazima tuwe kitu kimoja tumelia kwa muda mrefu kuhusu madawa ya kulevya na athari zake ngoja wafike mwisho ili tubaini ukweli mayowe haya yatafifisha jitihada njema za kupambana na janga hili.
 
ndio ulichoelewa! wee kweli zezeta.hoja hapa ni utawala wa sheria na haki za mtuhumiwa! sio vyama vya siasa.
Wewe mwenyewe umeandika kuwa licha ya Wema Sepetu kukipigia kampeni na kufanikisha ushindi mbashara wa chama cha Lumumba, sasa Wema anaisoma namba na chama hicho cha Lumumba hakitaki hata kumupatia wakili wa kumtetea. Sasa wema anashukiwa kufanya uharifu (kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya) na amefikishwa kwenye mkondo wa sheria, hiyo hoja ya utawala wa sheria na haki za mtuhumiwa imetoka wapi? Sasa utawala wa sheria utatekelezwa vipi bila mtuhumiwa kufikishwa kwenye mkondo huo wa sheria? Hizo haki za mtuhumiwa si zinatolewa na mahakama, sasa mtuhumiwa atazipataje hizo haki bila kufikishwa mahakamani? Kwani polisi wamesema hawatamfikisha Sepetu mahakamani kupata hizo haki zake za kuwa mtuhumiwa?

Ninarudia 'You are not using your brain properly for thinking'. I know you have a normal brain but you are deliberately not using it because of your faith that Lowasa is Mabadiliko and Mabadiliko is Lowasa. Many people will find you abnormal because that faith has long been proved to be totally false.
 
mkuu hiyo Dr futa kwakuwa unaongea pumba.mwanzoni nilidhani wewe ni mwanazuoni mwenzangu.unaonekana ni mbumbumbu wa sheria.ngoja nikuelimishe kidogo.mosi mtuhumiwa yeyote anahaki ya kutoongea lolote mpaka afikishwe mahakamani,pili mtuhumiwa anahaki ya kuwa na wakili anavyohojiwa polisi.sasa mkuu wa Lumumba kasema atakayetetea wahalifu akamatwe pia.unategemea wakili anayejipenda atakimbilia central kumwakilisha Sepetu? pia sijaandika popote kuwa chama kimtafutie wakili.pole useless Dr
 
Ni upepo tu,utapita kama yalivyopita mengine yote
 
Hivi wakija kwenye kampeni wataimba wimbo gani tena?
 
Wewe bure kabisa sijapata kuona maishani,unamaanisha awe na kinga kwa vile ali campaign ili mpate cha kusema kwa vile alishiriki kuhamasisha?sikia wewe mgalatia kama mmeishiwa sera mnazitafuta za kipuuzi usije kuanzisha uzi wa ajabu,hata awe babake ni mkuu wa kaya awajibishwe,na pia tuwe makini na chuki maaana tunaweza kutajwa watu wasio na hatia kwa mambo ya ugonvi wa mapenzi!
?
 
mimi siipendi ccm ila kwa hili naunga mkono hoja ,hata kama watasema makonda anatafuta kiki poa tu!jk kakaa na majina miaka kumi,makonda kwenye hili hongera ,japo majina mengine hatujayaona,jux,diamond,nando,idi azzan,ruge,,millard,


Hacheni kumchafua Ruge
 
Ni lini Wema Sepetu alikuwa takataka chadema? Kwa maana umeongelea usaliti, sasa usaliti wa Wema Sepetu uko wapi?
Mkuu tukiliweka pembeni hilo la sepetu na tuhuma zake, hivi kinana amewahi kuhojiwa /kutaja wale alio wasafirishia mzigo wa pembe za ndovu?. Ktk mapambano ya ujangili kinana hakutakiwa kuachwa hivi hivi....
 
Kuna muungwana mmoja alinidokeza kwamba ukiona mtu yeyote anaipigania ccm kwa udi na uvumba , basi mwangalie kwa macho matatu .
 
mimi siipendi ccm ila kwa hili naunga mkono hoja ,hata kama watasema makonda anatafuta kiki poa tu!jk kakaa na majina miaka kumi,makonda kwenye hili hongera ,japo majina mengine hatujayaona,jux,diamond,nando,idi azzan,ruge,,millard,
Asante kwa kuongeza majina mapya
 
Iliwahi kutamkwa makanda wapo tayari kuungana hata na shetani kuitoa CCM

Hivyo sidhani kama wataacha kuwaza hivyo hao watu.
 
KAMA anauza sembe haijalishi yupo chama gani nadhani,,muhalifu anabaki kuwa muhalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…