No orchid for Ms. Wema Sepetu

No orchid for Ms. Wema Sepetu

Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.

Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.

Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.

Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
Si kila hoja mnaleta siasa, acheni ulofa.
 
This is a very poor way of using your brain for thinking.

Kama ndivyo unaamini ufikiri wako huo uko timamu maana yake kama chadema ingeshinda huo urais mwaka 2015, wale wote waliokipigia debe chadema kishinde, chama hicho kingewalinda katika uharifu wo wote watakoufanya, ikiwamo kufanya biashara ya madawa ya kulevya, biashara ya meno ya tembo, ujambazi, uzinzi, ulawiti, kutokulipa kodi n.k. Kisa: 'Ni wenzetu hawa maana ndiyo walituwezesha kushinda urais, hawatakiwi kusoma namba'.

Maana yake pia ni kwamba chadema ingeshinda, uharifu nchini ungeongezeka sana. Na waharifu wakijua kuwa kukipigia debe chama cha siasa kushinda urais ni kujipatia kinga dhidi ya mkondo wa sheria kwa uharifu walioufanya na watakaoendelea kuufanya, basi wapiga kampeni za chaguzi hizo karibu wote wangekuwa waharifu sugu.
 
Ni lini Wema Sepetu alikuwa takataka chadema? Kwa maana umeongelea usaliti, sasa usaliti wa Wema Sepetu uko wapi?
mtu yeyote ambaye hakutaka mabadiliko ni msaliti.hata wewe ambaye kutwa nzima unatoa mipovu kuisafisha Lumumba ni walewale.siko Chama chochote zaidi ya kupenda na kuungamkono mabadiliko mubashara.nimezalia nimeikuta nchi yetu ya pili kutoka mwisho kwa umaskini.naelekea kuwa mzee bado tunaitwa maskini.utawala na fikra zilezile za Mwalimu zilizoshindwa.count me out.
 
mtu yeyote ambaye hakutaka mabadiliko ni msaliti.hata wewe ambaye kutwa nzima unatoa mipovu kuisafisha Lumumba ni walewale.siko Chama chochote zaidi ya kupenda na kuungamkono mavadiliko mubashara.nimezalia nimeikuta nchi yetu ya pili kutoka mwisho kwa umaskini.naelekea kuwa mzee bado tunaitwa maskini.utawala na fikra zilezile za Mwalimu zilizoshindwa.count me out.

Kwa hiyo kukataa kuwakabidhi nchi yetu Wachaga ndiyo usaliti?
 
Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
Soma uelewe! akili yako kama ndogo utatafsiri hayo.sijatetea kosa lake natetea haki ya kisheria ya kuwa na wakili unapohojiwa.au hujui kuwa mwenyekiti wa lumumba kakataza mawakili wasiwatetee watuhumiwa wengine?
 
Mtuhumiwa ni mtuhumiwa tu, haijalishi ni kada au sio kada, wapo watuhumiwa wengi wameshikiliwa na jeshi la polisi, ila ninasikitika pale wanaponyimwa dhamana kwa makosa ambayo yanadhiminika hiyo ndio shida yangu
 
Ipo siku tutakuja kusema tatizo la nguvu za kiume chanzo ni ccm,maana imekuwa kana kwamba endapo chama kingine kikiingia madarakani ndiyo hakutakuwa na tatizo lolote.
mkuu tuseme marambili? huoni hila zao za kuzuia kutoka madarakani? kwa ufanisi upi? nafuu aje mwingine ashindwe!
 
Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.

Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.

Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.

Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.

Toka hapa na maneno yako ya kipuuzi ukiwa mwana CCM siyo tiketi ya kuvunja sheria mnalalamikia demokrasia kila siku wakati mkurungenzi wa kampuni yenu amenga'ang'ani uenyekiti toka chama kilipoanzishwa.
Ukitaka kummulika nyoka anzia miguuni mwako, angalia huko unaposema Zanzibar hivi Hamadi NDIYO ANAFAA KUGOMBEA URAIS ZBAR PEKE YAKE TU WENGINEE HAKUNA? HALAFU MNAROPOKA DEMOKRASIA, DEMOKRASIA IANZIE KWENYE VYAMA VYENU ILI NA SISI TUONE MFANO KWENU HIVI NI KWELI HAMNA AKILI WOTE KWENYE HIZO KAMPUNI NJAA ZENU ISIPOKUWA MBOWE NA HAMADI??? BORA MNGEKAA KIMYA KULIKO KULETA UTUMBO WENU HAPA WATU TUKO BUSY NA ISSUE ZA MAANA WEWE UNAANZA KULETA UJINGA WAKO HAPA.
 
mimi siipendi ccm ila kwa hili naunga mkono hoja ,hata kama watasema makonda anatafuta kiki poa tu!jk kakaa na majina miaka kumi,makonda kwenye hili hongera ,japo majina mengine hatujayaona,jux,diamond,nando,idi azzan,ruge,,millard,
Aiseee hii POST YA 3 SASA NAMSOMA RUGE.
Huenda kukamatwa kwa BABU WA KITAA NI NJIA MURUA
 
Kama kweli anauza au anshiriki kwa namna yyt ile na hiyo shuhuli basi sheria ifuate mkondo wake.......haijalishi alipigia kampeni chama gani.
mkuu wanasheria wanaogopa kukamatwa hata kwenda central hawataki.umesahau mkwara wa siku ya sheria
 
Kwani Wema ni nani kweny hii kna w2 walikuw na vyeovkubwa kweny hii nch na wmefkishwa polic then mahakani na wakahukumiwa vifungo hta km ni vyanje nyie mmekalia tu Wema Wema ni nani kwani yy akpatkana na hatia akale ugali wa bure hko
 
Thegame unataka kutwambia walikuwa hawajui kama ni dealer wakati huo? Kule ni chaka mpk viongozi wao pia ni dealers
mkuu toilet paper thamani yake kabla haijatumiwa.ikitumiwa ni ya kutupwa ndio akina WEMA
 
Na Mchaga aliyepo chadema ni nani? Mmiliki misukule au?
Haujakamatwa bado??Au wewe ni wale watakaoripiti Jumatatu?Vipi Diamond anaitwa lini??Au kwa vile tuna kunywa naye hataguswa??
 
sweka ndani hao mashetani, kwanza ni mfano mbaya sana kwa watoto wetu, wanachafua tabia watoto wetu bora tu wakae ndani ustaarabu udumu mtaani. mtu na umri wote ule hana akili kichwani?kama hatumii madawa ni nini sasa?
Baniani mbaya mkuu lakini apewe upatu wake.
 
Kwa mawazo ya upinzani ya aina hii wala sishangai wazee wa Lumumba wakiendelea kushinda kwa kishindo
 
Back
Top Bottom