No one can afford me

Status
Not open for further replies.

Zahra White

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
598
Reaction score
576
hey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's goes directly to my muheshimiwa email.
Munikome muniwache
 
Hivi kuna watu huwa wanafanya hiyo kitu??
u CAN BE A MAN!! .... UUURGHH.
 
"The ultimate measure of a man is not where he stands in moments of comfort and convenience, but where he stands at times of challenge and controversy." Martin Luther King Jr. Utaona wataamuaje baada ya hapa.
 
Ushakuwa nokia mpaka 2kuaford au umekuwa chakula acha ushamba ww kama umetongozwa tulia kwani c unacho cha kutoa wote walio kutongoza wana akili timamu ucfikiri ni vichaa.wanataka ulichojaaliwa
 
Kama kila anayetongozwa PM na kufanya mambo ataposti hapa hii server ingekuwa ishajaa sasa. Ya huko malizaneni huko

hiyo nzuri yaani au azidisable tu pm tatizo nae mashauzi kibao wanaume wenyewe wa humu wakware.
Aache mashauzi aone wenzake tuna miezi hatupokei pm
 
hiyo nzuri yaani au azidisable tu pm tatizo nae mashauzi kibao wanaume wenyewe wa humu wakware.
Aache mashauzi aone wenzake tuna miezi hatupokei pm

Angejua wanaume wa humu ni kuchomeka na kuchomoa walaaa........ tena wengi (si wote) full manjaa, watu wengi wenye hela zao wako busy na mabisness yao huko mtaani hawana hata muda wa kung'aa macho huku JF (kama haamini basi).
 
ha ha hapo mi cpo best ila wakikuzidi nguvu nitakuja kukugombelezea
 
Ushakuwa nokia mpaka 2kuaford au umekuwa chakula acha ushamba ww kama umetongozwa tulia kwani c unacho cha kutoa wote walio kutongoza wana akili timamu ucfikiri ni vichaa.wanataka ulichojaaliwa
Anajipromoti
 
Angejua wanaume wa humu ni kuchomeka na kuchomoa walaaa........ tena wengi (si wote) full manjaa, watu wengi wenye hela zao wako busy na mabisness yao huko mtaani hawana hata muda wa kung'aa macho huku JF (kama haamini basi).
Utafutataji wa hela unatofautiana mama na muda wa utafutaji uanatofautiana pia, pia sio muda wote watu wanatafuta hela kuna muda lazima uwe na muda wa ku socialize na watu na huu ni mtandao wa kijamii, pia naomba ujue dunia haifanani masaa na jamiiforums inatumiwa na watz wengine hawapo nchini kama chanzo cha habari, na ndio maana muda wote lzm ukute watu wapo online wakati wewe unalala wengine wanaamka, akili kumkwichwa zingatia muda wako na shughuli zako. Pia naomba ujue ni ngumu sana kumfahamu mtu kupitia humu maana kujifanyisha ni kwingi sana kuna wakati unaweza dhani unajibizana na mwanamke/binti kumbe ni mwanaume
 
hey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's goes directly to my muheshimiwa email.
Munikome muniwache
Peleka sura yako ya pilipili mtaa wa pili
 
Hahahaha mpendwa nilishasema natania tu....pole kama nimekukwaza.
 
Hahahaha mpendwa nilishasema natania tu....pole kama nimekukwaza.
Wala usijali bibie si unajua tena mambo ya kusocialize maana bila hivi hakutakuwa na cha kukomenti, daahh kukwazika humu unakuwa unajitakia pressure zisizokuwa na sababu maana JF ni vita ya msituni hujui adui yuko wapi, ni nani na anasiraha gani na atakushambulia saa ngapi, take it easy
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…